Baadhi ya akina mama wajasiliamali wa kikundi cha Kilangalanga kilichopo Mlanzidi mkoani Pwani ,wakifurahia kupata mikopo isiyo na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI.Jumla ya kinamama 425 wamenufaika na mkopo huo wa zaidi ya shilingi milioni 30.

 Mratibu wa mradi wa MWEI wa Vodacom Tanzania Mgongo Emmanuel akiongea na wakinamama wajasiliamali wa vikundi mbalimbali kutoka katika kijiji cha Kilangalanga cha Mlandizi kabla ya kuanza kuwakabidhi mikopo yao isiyo na riba kwa ajili ya kuendeleza biashara zao na kurudisha mikopo hiyo kwa njia ya m-pesa,jumla ya kinamama 425 walinufaika na mkopo huo wa zaidi ya shilingi Milioni 30.

 Meneja wa mradi wa MWEI unaondeshwa na Vodacom Tanzania, Mwamvua Mlangwa ,akimkabidhi F edha Radhia Abdalah, ambazo ni mkopo usio na riba inayotolewa na kampuni hiyo na kurudishwa kwa njia ya m-pesa,zaidi ya shilingi Milioni 30 zimetolewa kwa vikundi vya kinamama wajasiliamali wa kikundi cha Kilangalanga kilichopo Mlandizi mkoani  Pwani,Jumla ya kinamama 425 wamenufaika na mkopo huo
 Meneja mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa wa Vodacom, akimkabidhi mkopo wa fedha  Mwanaidi Khamisi, ambaye ni miongoni mwa akina mama wajasiria mali 425 toka vikundi mbalimbali  katika  kijiji cha  Kilangalanga Mlandizi. Walionufaika na mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 30.katikati ni mratibu wa mradi wa MWEI Mbuyu Ally.

 Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akifafanua jambo kwa wakina mama wajasiliamali wa Mlandizi Mkoani Pwani ,kuhusiana na matumizi ya mikopo waliyopewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wa MWEI,Vodacom kupitia mradi huo umewanufaisha  jumla ya wanawake 425 kwa kuwapa mikopo isiyo na riba wa zaidi ya shilingi Milioni 30 Mkoani Pwani. 
Zakia Juma wa kikundi cha akina mama wajasiliamari wa Kilangalanga Mlandizi akisaini fomu ya malipo wakati alipokuwa akikabidhiwa mikopo isiyo na liba na kampuni ya simu ya Vodacom Kupitia mradi wake wa MWEI,kulia ni Meneja mradi  MWEI, Mwamvua Mlingwa na Mratibu wa mradi Mbuyu Ally.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...