Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Ridhiwan Kikwete pia akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Tumepokea taaarifa hii ya kifo cha marehem Steven Kanumba (RIP) kwa udhuni kubwa na majonzi,tunatoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na jamii yote ya watanzani.
ReplyDeleteTupoe sote,
Mungu amlaze pema peponi.
Wadau
Ngoma Africa band aka FFU
Ughaibuni,Ujerumani
Ni huzuni na simanzi kubwa sana kuendelela kushuhudia vijana wetu wanatutoka kila leo. Sikufahamiana na Kanumba ila nimekuwa nikiheshimu sana mchango wake katika sanaa na kujifunza kutokana na jitihada zake katika maendeleo.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Steven! Poleni sana wanafamilia, ndugu, marafiki na wanajamii wote walioguswa na msiba huu.
"INNA LILLAHI" naanza, kwa yake MUNGU hakika, "WAINNA ILAYHI" ongeza, nasi waja kadhalika,
ReplyDelete"RAJIOONA" namaliza, rudi kwake bila shaka,
Yote kazi ya MWENYEZI, YARABI pema muweka.
Nimepigwa bumbuwazi, bado tama nimeshika,
Bubujikwa na machozi, akili mevurugika,
Kuamini ipo kazi, kama kweli katutoka,
Yote kazi ya MWENYEZI, YARABI pema muweka.
YARABI muweke pema, PEPONI kupumzika,
Nasi sote tuko nyuma, wito wako taitika,
KANUMBA mlaze pema, 'ghufiri' alopituka,
Yote kazi ya MWENYEZI, YARABI pema muweka.
Mwenyeez Mungu mughufirie kwa yote na umlaze pema peponi MAREHEMU: STEVEN KANUMBA - AMEN.