Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki na wapambe wao kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya (katikati ) na Balozi wa Afrika ya Kusini nchini, Thanduyise Chiliza, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Wenyeviti wa Halmashauri za Mkoa wa Mtwara, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...