Kocha wa Yanga Kostadin papic akiwa na kocha msaidizi Fredy Filex Minziro 'Baba Isaya' wakifuatilia kwa makini mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Polisi Dodoma uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akiruka daruga la kiungo wa Polisi Dodoma, Idd Ramadhani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Ila Yanga mlikosoa kumtoa Timbe katikati ya Msimu..Mliwavuruga wachezaji..Timu ilianza vibaya lakini ilikuwa imeshaanza kushika kasi..mkabadilisha Mwalimu..Kuna sehemu leo nimesoma gazetini kwamba wale wazee wa zamani walikuwa hawana digrii lakini waliongoza vilabu hivi vikubwa kwa mafanikio kuliko hawa wa sasa wenye digrii(TRUE OR FALSE?)
ReplyDeleteDavid V
Baada ya ushindi huu ss yanga inaweza kuwa bingwa?
ReplyDeleteMdau Anonymous wa Mon Apr 23, 08:32:00 AM 2012
ReplyDeleteUkipungukiwa na Vitamini mwilini suluhisho sio kula MGUU MZIMA WA NG'OMBE' kwa mlo mmoja au mtungi mzima wa Supu ya utumbo ili kufikia lengo la kurudisha afya na kutimiza Mashariti ya lishe yaliyotolewa na Dakitari!
ILI KUBEBA NDOO BINGWA 2012 :
Ushindi hu 3-1 wa Yanga ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
Aywiii I Felix Kataraiya Minziro i fwantasitiki boyi, thrii pozisheni kwa wakati imwe?
ReplyDeleteLishe ya Mbuzi mzima kwa mlo mmoja inaweza kuleta madhara kwa kusababisha kuharisha badala ya kuujenga mwili kwa haraka ili kufikia lengo la kupona 'Utapiamlo' !
ReplyDeleteUshindi wa Yanga wa 3-1 Dhidi ya Polisi Dodoma inaweza kuwa ni wa kujifariji tu!