Abiria wa Daladala wakipiga kibega (kusukuma) gari walilokuwa wakilitumia kusafiria kutokana na hali ya utelezi kwenye njia waliyopita,kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika baadhi ya maeneo nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2012

    Mbunge wa sasa wa jimbo la UKONGA ASIJISUMBUE KUGOMBEA KIPINDI KIJACHO, ile barabara ya MAZIZINI INATISHA NA TANGIA APATE HAMNA KITU ALICHO KIFANYA. KAMA ANA NIA YA KUGOMBEA KIPINDI KIJACHO AU KAMA CCM BADO WANALIHITAJI KUSHINDA HILO JIMBO BASI BARABARA YA MAZIZINI ITANDIKWE LAMI.mubunge wa sasa amelala fofofo.
    KUJITETE KWAO KWAMBA WENYE MADUKA WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUZUIA BARABARA KUJENGWA NI DANGANYA TOTO, YASHINDIKANA BARABARA KUU WATU WANAVUNJIWA MAVIWANDA NI HIVI VIBANDA VYA WAMACHINGA HAPO NJIA YA KUINGILIA MAZIZINI!!??

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2012

    Bora jimbo liwe na mpinzani kulikoni mbunge wa sasa ambaye hata kuhamasisha wanaukonga warekebishe hata vibarabara vyao vya mitaa hana uwezo, sijui kaokotwa wapi huyu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...