HII NI OFISI YA MTENDAJI KATA WA KATA YA KIBINDU,WILAYANI BAGAMOYO MKOANI PWANI,KAMA ILIVYONASWA NA MZEE WA KIPEPEO TOURS KIJIJINI KIBINDU BAGAMOYO KWAKONJE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2012

    Kazi lakini si inafanyika?

    Kazi kwanza mambo mengine baadaye.Jengo au uzuri wake si uzuri wa kazi.Ajabu nini.Mtendaji we endelea usisubiri jengo litakuja baadaye.

    Wako maprofesa hivi leo walisoma katika majengo kama hili.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2012

    hii si ofisi kaka ungeuliza,ili uonyeshwe ofisi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2012

    Alieleta habari kakurupuka maana hicho ni kibao kinachoonyesha ofisi ya kata ambayo ipo upande wa kulia kama mshale unapoonyesha na si nyuma ya hicho kibao, inaelekea alieleta picha aliingia kufanya kazi eneo la watu bila kuonana na viongozi maana kama alipiga kazi hapo lazima angeripoti ofisi ya kata ili iweze kujua kilichomleta ni nini.

    ReplyDelete
  4. Aaah hiyo siyo ofisi ya mtendaji. Hiyo ilikuwa mashine ya kusaga tena imeacha kutumika mwishoni mwa miaka ya tisini. Ofisi haipo maeneo hayo. Hapo panaitwa kisatuni na ofisi ipo mtaa unaitwa apendae mdau. Kule kwetu hawatozi hela kwa waulizao.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...