Balozi wetu Msumbiji Mh Shamim Nyanduga ameanza kazi rasmi kwenye Ubalozi wetu hapa Msumbiji. Wafanyakazi walimpokea kwa shangwe na nderemo. Pichani Mhe.Balozi Shamim Nyanduga akikaribishwa Ubalozini na Maofisa Frank Mwega HOC, Col. M.Lwimbo,Adam Kinguti na Joyce MOshi
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga akipokewa na wafanyakazi wa ubalozi jijini Maputo na nderemo.
Mhe. Balozi Shamim Nyanduga yuko tayari kuanza kazi rasmi Ofisini kwake
Balozi Chuma...Mshallaah
ReplyDeleteKila la kheri mama,naimani utatuwakilisha vyema na utafuta maarisho ya Mola wetu ishallah
ReplyDeleteWafanyakazi wa balozo hiyo wamechoka tofauti na balozi nyingine, hizo suti sijui wamejishonea wenyewe
ReplyDeleteAnafaa. Ni mchapakazi. Pongezi Shamim, Tom na watoto wenu wote.
ReplyDelete