Mh Esther Bulaya akikagua timu ya Town Star
Mh Esther Bulaya akikagua timu ya Amani FC
Town Star
Amani FC
Mh Bulaya akitoa kombe kwa kepteni wa Town Star
Mh akipozi na washindi Town Star
Aman Fc 250,000 Polisi Fc 150,000
Mh Esther Bulaya akikagua timu ya Amani FC
Town Star
Amani FC
Mh Bulaya akitoa kombe kwa kepteni wa Town Star
Mh akipozi na washindi Town Star
Michuano ya Mbunge wa Viti maalum kupitia Umoja wa vijana CCM mkoani Mara ESTHER BULAYA CUP imemalizika jana ambapo michuano hiyo imedumu kwa wiki mbili katika wilaya Bunda mkoani Mara,Katika michuano hiyo Mshindi alikuwa ni Town Star baada ya kuifunga timu ya Amani FC mabao 4-2 kwa mikwaju ya Penalti Huku mshindi wa tatu Ikiwa Timu ya Polisi Fc
Katika michuano hiyo Town Stars walipata zawadi ya shilingi 500000 na kombe
katika michuano hiyo Mchezaji bora alikuwa Ramadhani Kifundu kutoka Amani Fc aliyepata zawadi ya shilingi ya shilingi 50,000
Mfungaji bora kutoka timu ya Balili fc 50,000
Timu yenye nidhamu Mwembeni FC 50,000
TFF mashindano haya madogo madogo ndiko kuna wachezaji wa Timu ya Taifa lakini hawaonekani..Huyo mfungaji bora afuatiliwe kwa karibu.Fuatilieni TFF Bunda
ReplyDeleteDavid V