Mjumbe wa Shirika la Huduma za Kisheria (Legal Services Facility) ambaye pia ni Balozi wa Denmark nchini Bw. Johhny Flentoe (katikati) akimweleza Waziri wa Katiba na Sheria Bw. Mathias Chikawe (kushoto) shughuli za shirika hilo alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo Bi. Joaquine De Mello.
Home
Unlabelled
BALOZI WA DENMARK AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI JIJINI DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...