Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga (kushoto) akibadilishana Mkataba wa Udhamini wa Bia ya Kilimanjaro kwa Timu ya Taifa "Taifa Stars" na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kulia) wakati wa hafla fupi iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Kibo,ndani ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga (pili kushoto waliokaa) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (pili kulia waliokaa) wakisaini Mkataba wa Udhamini wa Bia ya Kilimanjaro kwa Timu ya Taifa "Taifa Stars" wakati wa hafla fupi iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Kibo,ndani ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.Wanaoshuhudia ni viongozi mbali mbali wa TFF na Kampuni ya Bia Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...