Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (MB), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Nje,Bw. Dushhood Mndeme.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (MB), akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mkutano wa Wizara ya Mambo ya Nje leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Bw. Assah Mwambene, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali -Wizarani. (Picha na Tagie Daisy Mwakawago wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...