Picha hii inaonyesha Farasi wenye mabaka wakiwa wamesimama katika sehemu ambayo inaendana na rangi za mabaka hayo,Je waweza taja Idadi ya farasi hawa??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 54 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    Watano tu? wanne wakubwa na mmoja mdogo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2012

    hawa ni farasi 5

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 26, 2012

    Hawa farasi wako watano(5)

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 26, 2012

    wako watano

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 26, 2012

    yap, Farasi wako watano

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 26, 2012

    bwana michuzi wako wanne.

    ReplyDelete
  7. Watano (5)

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 26, 2012

    Haymkini hawa watakuwa ni Farasi watano(5),wanne(4) wakubwa na mmoja(1) mdogo!
    Image Profession

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 26, 2012

    wapo farasi watano

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 26, 2012

    daah, hii nzuri..wako watano aisee.sema

    hsm

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 26, 2012

    Farasi wa 5:)))

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 26, 2012

    Farasi ni wa nne na mototo mmoja,jumla ni watano.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 26, 2012

    WAKO WATANO (5)

    ReplyDelete
  14. Pana farasi watano uncle

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 26, 2012

    WATANO(5) KULIA KUNA WAWILI(2) yupo Mkubwa na Kaduchu labda huyo Kaduchu mseme sio farasi sababu mdogo kama NDAMA, KULIA kuna MOJA(1) KATIKATI SASA NDIO UTATA NIMEONA WAWILI (2) = 5 nimepata JUMLA FARASI 5 TUNASUBIRI JIBU, MZ

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 26, 2012

    Hahahahaha.....ni watano bhanaaa

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 26, 2012

    hhahahahahahaha....ni watano, ukihesabu vichwa au miguu yao, it bmes cmpl

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 26, 2012

    Hao farasi wapo watano.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 26, 2012

    Kuna farasi watano (5)..

    ReplyDelete
  20. wapo watano: wakubwa wanne na mdogo mmoja

    ReplyDelete
  21. wapo watano: wakubwa wanne na mdogo mmoja

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 26, 2012

    watano mjomba

    by DUKE OF IRAMBO

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 26, 2012

    wako watano.
    kushoto mmoja , kulia mmoja na kati watatu.
    safi sana.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 26, 2012

    Wako farasi watano

    ReplyDelete
  25. farasi watatu

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 26, 2012

    watano farasi

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 26, 2012

    dala!!!

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 26, 2012

    HUHITAJI DARUBINI KUBAINI IDADI YA FARASI HAWA, WANAONEKANA WAZI WAKO WATANO,

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 26, 2012

    watano!

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 26, 2012

    Wapo wa 5
    Mike

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 26, 2012

    Five of them.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 26, 2012

    Me nimeona watatu wakwanza katikati,mwengine kushoto karibu na mkia wa huyo wakatikati na wa tatut kulia kichwa chake kimekaribiana na huyo wakatikati.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 26, 2012

    Hapo kuna Farasi 4 watatu wakubwa n mmoja mtoto.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 26, 2012

    wako watanomean 5

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 26, 2012

    wapo farasi watano
    +614770477462

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 26, 2012

    farasi ni watano,,ila huyo wa katikati ndo anautata mpaka uwacheck miguuni,,la sivyo unaweza kusema wanne lakini ni wa5

    Ahlam

    ReplyDelete
  37. Alistides.May 26, 2012

    mbwana michuzi farasi wako 4 wa3 wakubwa na 1 mdogo.

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 26, 2012

    Watano hao

    ReplyDelete
  39. Wako sitaaaaaaaa aibuuuuu tupu watanzania hamna macho daaaaaaaaah siamin ni mim tu nimeweza pata hadi sasa!!!!

    ReplyDelete
  40. AnonymousMay 26, 2012

    chemcha bongo JIBU NI WATANO walioandika 5 wamepata.walioandika 4 wanahitaji miwani.waliochora 3 anahitaji kupumzika.

    ReplyDelete
  41. AnonymousMay 26, 2012

    hapo wamesimama farasi 31, na waliokaa ni 23

    ReplyDelete
  42. AnonymousMay 26, 2012

    nimegundua kabisa ni kiasi gani watanzania tuna matatizo ya macho na shida kufahamu

    hapo hakuna farasi watano 5

    hapo kuna michoro ya farasi watano 5



    mdau uholanzi.

    ReplyDelete
  43. AnonymousMay 27, 2012

    sabini na mbili

    ReplyDelete
  44. AnonymousMay 27, 2012

    Wako 5 Wa4 wakubwa mmoja ndama wa farasi.

    ReplyDelete
  45. AnonymousMay 28, 2012

    wapo sita kk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...