Mshindi wa Redd's Miss IFM 2012,Fina Revocatus (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili,Jane Augustino (kushoto) na wa Tatu Theresia Issaya muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Jijini Dar.
Washiriki walioingia kwenye tano Bora.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Diamond akifanya vitu vyake wakati wa onyesho hilo la urembo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Jijini Dar.





Assalama Lekko zako Muungwana Ustaadh Naseeb Abdul a.k.a Diamond platinumz!
ReplyDeleteKweli upo juuuu na kazi unaifanya!
Inshallah Mwenyezi Mungu akuzidishie ili na sisi Mbagala safari hii tukupe Binti wa Kuoa, tumekuswamehe na tumemalizana na wewe na hatuna ugomvi na wewe licha ya kutuponda kwa wimbo wako 2009,,,au Sio Super Star?