Home
Unlabelled
dah! asavali kibabu kikalee vitukuuu - maurinho upo??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
THUBUTU MORINYO ATAKWENDA CHELSEA LA SI HIVYO COCHA ALIYE JIUZULU BACA ATAVAA BLUUUUSS...
ReplyDeleteLabda hawatashuka daraja?
ReplyDeleteHii timu itashuka daraja mwakani tu. Mourinho, na Guardiola kamwe hawatakenda bwawani. Bwana si timu ya mvuto Uingereza, hiyo ilikuwa zamani hata kabla ya Michuzi kuota meno na kuacha kunyonya. Wapenzi wa Bwawani kaeni mkao wa kula dozi toka kwa wakali wa England mwakani. Nyie mtakuwa tu jamvi la wageni. Si mlisema Oh King Kenny, Oh sijuwi nini...kiko wapi? Ile timu imelaaniwa na Sir Alex Ferguson na kamwe hamuwezi kuchukua kombe hata iweje.
ReplyDelete