MAREHEMU MZEE HERBERT HOSEA NYAMUGALI
Leo ni miaka sita toka bwana alivyokuchukua ghafla tarehe 17.05.2005. Pengo lako halitazibika haraka lakini ingawa kimwili hauko nasi tunaimani tuko nawe kiroho.
Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe daima milele na milele. Amina.
Unakumbukwa na Mkeo Mama Happyness; watoto wako Jacqueline, Hellen, Adam, Hosea, Salome na Alice. Mjukuu wako Herbert; Shemeji; Kaka na dada zako, wadogo zako, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote pamoja na wanafamilia ya Nyamugali.
Astarehe kwa Amani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...