Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2012

    Am impressed by Diamond, thats fantastic.Good job bro.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2012

    Huyu kijana hatari hatari kwelikweli.Shukrani kwa waliofanikisha Diamond kutumbuiza hapa.Kuna faidi nyingi,licha ya yeye kupata kipato lakini anautangaza huu muziki wa Bongo Flavour,anaitangaza nchi yetu ya Tanzania na Lugha ya Kiswahili.Kumbe tufanye nini?,tumeshindwa kutumia michezo ya mbio,mpira wa miguu,nk kujitangaza bora twende kwa stahili hii.Mungu ibariki Tanzania

    David V

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2012

    Huyu jamaa sasa nimemkubali kwa ufanyaji wa shoo zake, wish you all the Best Brother

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2012

    filiiiiiiiiiiiii mmmmmmmmmmmm

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2012

    jamanii Iam extremely proud of Diamond.
    Aftena ata english yake nzuri tu tena sana kajieleza vizurii am super proud goooo Diamond sky's the limit

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2012

    hakika huyu kijana atafika mbali, kama ni meneja wake nampa big 5, jinsi anavyojua kumpangia programs na mengineyo kwa ujumla, namtakia kila kheri, yeye na meneja wake na mama yake mzazi ambe humpa sapoti kubwa sana. keep it up bro

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2012

    Diamond zidisha bidii na kuwa na malengo ya kimaisha zaidi!!!

    Big up!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2012

    Hawa ndio wale wanaoambiwa hawakusoma, wamekuwa kama wamarekani weusi wanatumia muziki kuexpresss kama watu ingawa wanaambiwa hawana akili shule ufaulu wao mdogo lakini kumbe wanatalents. They have to survive yaani trend ya watoto wa majini ambayo hayatakiwi kuonekana sekondari na vyuo vikuu sasa vinaishia katika muziki kuepuka kwenda jela. Wenye akili si mnajua Adfrican american have to turn to music and entertainment because they are not given chances in other professions. big up diamond. Mwenye enzi Mungu ndio atakaehukumu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2012

    Kazi nzuri Diamond.Big up kwa waliofanikisha sho yake.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 28, 2012

    I wish you the best Diamond you were very impressed! Nampongeza na Wema Sepetu kwa kukufundisha ung'eng'e dogo ulisomeka kabisa jana keep on learning english maana you are going international. Hongera sana hawakkukosea kukupa chance ya kutumbuiza. bll

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 28, 2012

    well done

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 28, 2012

    Pumzi hakuna! Fanya mazoezi kijana!
    Ni hayo tu!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 28, 2012

    safiiii warushe warushe wasauzi watujuwe kama wabongo tupo juu na tunazidi kuwa juu kwa mbio kali sana yani hadi rahaaaa safi sanaaaa big up diamond wewe ni mnomaaa.

    ReplyDelete
  14. Mama ProsperMay 28, 2012

    Hongera sn Diamond mungu akuzidishie uendelee kusonga mbele zaidi

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 28, 2012

    Safi sana Diamond, kwakweli nimefurahi kwa jinsi ulivyotuwakilisha!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 28, 2012

    Yaaap Yaaaah DOGO DYMO nimekukubali,ila kidogo ongeza mazoezi,inaonekana ka PUMZI inakata hivi,,kamua baba kamua ndo ushawakamata tena so usiondoe mguu kwenye GAS pedal

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 28, 2012

    KUCHEZA YUKO JUU MNOO ILA SASA AKAZANE NA MAZOEZI PUMZII HAKUNA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...