Home
Unlabelled
DIAMOND ALIVYOKAMUA KWENYE EVICTION PARTY YA BBA 7
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Am impressed by Diamond, thats fantastic.Good job bro.
ReplyDeleteHuyu kijana hatari hatari kwelikweli.Shukrani kwa waliofanikisha Diamond kutumbuiza hapa.Kuna faidi nyingi,licha ya yeye kupata kipato lakini anautangaza huu muziki wa Bongo Flavour,anaitangaza nchi yetu ya Tanzania na Lugha ya Kiswahili.Kumbe tufanye nini?,tumeshindwa kutumia michezo ya mbio,mpira wa miguu,nk kujitangaza bora twende kwa stahili hii.Mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteDavid V
Huyu jamaa sasa nimemkubali kwa ufanyaji wa shoo zake, wish you all the Best Brother
ReplyDeletefiliiiiiiiiiiiii mmmmmmmmmmmm
ReplyDeletejamanii Iam extremely proud of Diamond.
ReplyDeleteAftena ata english yake nzuri tu tena sana kajieleza vizurii am super proud goooo Diamond sky's the limit
hakika huyu kijana atafika mbali, kama ni meneja wake nampa big 5, jinsi anavyojua kumpangia programs na mengineyo kwa ujumla, namtakia kila kheri, yeye na meneja wake na mama yake mzazi ambe humpa sapoti kubwa sana. keep it up bro
ReplyDeleteDiamond zidisha bidii na kuwa na malengo ya kimaisha zaidi!!!
ReplyDeleteBig up!
Hawa ndio wale wanaoambiwa hawakusoma, wamekuwa kama wamarekani weusi wanatumia muziki kuexpresss kama watu ingawa wanaambiwa hawana akili shule ufaulu wao mdogo lakini kumbe wanatalents. They have to survive yaani trend ya watoto wa majini ambayo hayatakiwi kuonekana sekondari na vyuo vikuu sasa vinaishia katika muziki kuepuka kwenda jela. Wenye akili si mnajua Adfrican american have to turn to music and entertainment because they are not given chances in other professions. big up diamond. Mwenye enzi Mungu ndio atakaehukumu.
ReplyDeleteKazi nzuri Diamond.Big up kwa waliofanikisha sho yake.
ReplyDeleteI wish you the best Diamond you were very impressed! Nampongeza na Wema Sepetu kwa kukufundisha ung'eng'e dogo ulisomeka kabisa jana keep on learning english maana you are going international. Hongera sana hawakkukosea kukupa chance ya kutumbuiza. bll
ReplyDeletewell done
ReplyDeletePumzi hakuna! Fanya mazoezi kijana!
ReplyDeleteNi hayo tu!
safiiii warushe warushe wasauzi watujuwe kama wabongo tupo juu na tunazidi kuwa juu kwa mbio kali sana yani hadi rahaaaa safi sanaaaa big up diamond wewe ni mnomaaa.
ReplyDeleteHongera sn Diamond mungu akuzidishie uendelee kusonga mbele zaidi
ReplyDeleteSafi sana Diamond, kwakweli nimefurahi kwa jinsi ulivyotuwakilisha!
ReplyDeleteYaaap Yaaaah DOGO DYMO nimekukubali,ila kidogo ongeza mazoezi,inaonekana ka PUMZI inakata hivi,,kamua baba kamua ndo ushawakamata tena so usiondoe mguu kwenye GAS pedal
ReplyDeleteKUCHEZA YUKO JUU MNOO ILA SASA AKAZANE NA MAZOEZI PUMZII HAKUNA
ReplyDelete