Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.
Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika mpango wake wa kuzungumza na kila Wizara katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
salute mkuu! This is what we want, seriousness!
ReplyDeleteNimependa aina ya samani wanazotumia. Nahisi ni home made. Hongereni sana. Viongozi wa serikali ya JMT na ninyi igeni.
ReplyDelete