Home
Unlabelled
JK arejea nchini leo kutokea Addis Ababa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
INAKUWAJE MUHESHIMIWA ANAJISHIKIA MWAMVULI,AAA HII SI SAWA KABISA.MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA NA WAHESHIMIWA WENYE SUTI VIPI?
ReplyDeleteacha ubwege wewe Anonymous fri may 11 07:48:00 kwani asishike mwamvuli yeye ni nani mungu au??si ni binadamu tu kama sisi ila ni jina tu anaitwa raisi, wabongo bado tuko nyuma tunapenda kunyenyekea watu sababu ya vyeo vyao, mwamvuli atashika na kula atakula mwenyewe hakuna mtu atakayemlisha.
ReplyDeleteMheshimiwa ameonyesha kuwa yeye ni kiongozi tu, na si mtawala kama walivyo akina Museveni na wengineo.
ReplyDeletendo peoples' power sisi ndiyo tumewaajiri waheshimiwa hawa hivyo mambo ya ukubwa kuwashikia miavuli huku tunalowa wakati sisi tunawalipa mishahara imepitwa na wakati.
ReplyDeleteHeshima ni kitu cha bure na hailetwi na kuwashikia miavuli.
mimi nataka hata hayo mambo yakupokeana yaondoke maana wanapoteza pesa za mafuta,usumbufu wa barabarani maana hao viongozi wote wakipita njia zinafungwa na kadhalika kwa hiyo wana uwezo wakukutana huko ikulu tu bila ya wao kwenda uwanjani kupunguza adha kwa wengine na kubana matumizi.
ReplyDeleteAnon wa kwanza, huyo yupo hapo kwa kuwa wewe ndio ulimweka hapo nikiwa na maana kwamba kura zetu wananchi ndio zilimfanya afike hapo na alikuwa kama wewe na mie before hivyo suala la kushika mwamvuli ni sawa kabisa, ningependa siku moja viongozi wetu katika kampeni za kupanda miti waache kuigiza kwa kupanda huku wametandikiwa zulia.
ReplyDeletenimefurahishwa na rais kushika mwamvuli mwenyewe . yeye ni mtu kama sisi tu ! na ameonesha uzalendo wake !
ReplyDeleteSat May 12, 09:59:00 AM 2012
ReplyDeleteWe ndugu uzalendo wa mtu unaokana kwa kujishikia mwavuli!! Hebu nenda mbali zaidi ya hapo
KIKWETE NI MTU WA WATU NA NI MZALENDO.
ReplyDeleteAnonymous said.....
ReplyDeletesio kosa kwa kwa kiongozi wa nchi kuchika mwamvuli mwenyewe, kwanza jamaa apendelei sana hata vitu vidogo kama kushika mwamvuli wamshikie, mimi nahisi hapendi kunyenyekewa sana ndio maana anafnya hivyo mwenyewe sio kwamba hawapendi kumshikia mwamvuli, nahisi atakuwa anakataa mwenyewe. maana nakumbuka kuna moja pia alikuwa morogoro hivi kama sijakosea mvua inanyesha anaenda kuhutubia kwenye jukwaa akawa ameshika mwamvuli mwenyewe, kwa hiyo hii si mara ya kwanza kwa jk kufnaya hivyo.
He watu wa humu ni mambumbumbu. Wameenda shule lakini wametoka na vyeti, Elimu wameiacha huko huko. Mtadesa, kama Chadeema inavyodesa.
ReplyDeleteunkala hivi ile ndege mpya ya kukodi ya ATCL ilishafika Tanzania? last week ilituwekea picha kwamba atcl wanaleta ndege siku ile ile, au bado iko angani. ukichukulia kutoka egypt mpaka bongo ni mbali so inawezekana ikachukua wiki angani kufika Dar:)) fuatilia!!!
ReplyDeleteKwekwekwe
ReplyDeletesasa jamani kulikuwa na haja ya zulia na mvua hizi? maana hilo zulia mpaka likauke na mvua zinaendelea si noma?
ReplyDeleteMnaacha kuongea ishu za maana mnaanza ku discuss ishu za mwamvuli watu wengine ujinga mtupu
ReplyDelete