Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hussein Mwinyi aliyeshika kiti akitembelea mabanda ya maonyesho ya wauguzi.Kushoto kwakwe ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Joseph Kuzilwa.
Mh. Waziri pamoja na Mwenyekiti wa Bodi wakisalimiana na Viongozi wa TANNA Muhimbili kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa CPL
Sehemu tu ya Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya ukumbi wa CPL wakisimama kumkaribisha Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...