Bendi ya maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani ,inatoa salam za hongera na pongezi nyingi kwa wanahabari na vyombo vya habari vyote duniani,katika sherehe ya siku ya "uhuru wa vyombo vya habari" 3 Mai 2012,bendi hiyo inawapongeza wanahabari na vyombo vyao,kwa kazi muhimu wanazofanya za kuwapasha habari walimwengu, kwani mchango wa wanahabari katika kila jamii duniani,ni sawa na mbolea katka maisha 
ya kila siku,kwani maisha bila ya habari ,ni sawa miti bila mizizi,
Hongereni sana wanahabari na Wanalibeneke wote duniani.

FFU wa Ngoma Africa band sasa wanatamba songi lao jipya
"Uhuru wa habari" wimbo ambao unasikika at 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2012

    hiiiiii!!! kile kikamanda ketu cha ffu,aka watoto mbwa aka ngoma afrika,
    tunazipokea saluti zenu kwa moyo mkunjufu,nyie tu ndie mnayekumbuka siku na matuko muhimu,wasani wenzenu hapa nyumbani wanataka kufagiliwa wao tu,
    Mdau
    Mzee wa uhuru

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2012

    Hahahahaha

    Wana wa Ras Makunjas !!!!

    Wakilisheni, Bongo tambarare, supu ya mawe !!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...