Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2012

    Sarkozy??

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2012

    David, sote tunamjua Sakozi, au ndo kusema wewe mjanja siyo, mchoraji wa katuni hii ,hajasema kwamba hili ni shindano la atakayeifahamu picha hii atapewa pesa NO, anyway David we know now that you are very smart.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2012

    Kumbe Gado ni francophone mwenzetu! Bienvenu au club.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2012

    Mungu Mkubwa!

    Sarkozy ameratibu Mabadiliko ya Utawala na Siasa nchi za Kiarabu alizotawala za Afrika ya Kaskazini, ametuma madege ya NATO kupiga Libya, ametuma vikosi vya Majeshi Ivory Coast kumng'oa Gbagbo, ameanzisha maandamano Tunisia akamtoa Ben Ali Alidine, ila amechemsha Algeria,,,na sasa zamu yake imefika ameng'oka FRANCE !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...