Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana akipanda mti kwenye eneo la Shule ya Msingi Mlimani,iliyopo ndani eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo lililoendeshwa na Kampunin ya Bia Tanzania kupitia Kinywaji chake kisicho na kilevi cha Grand Malt ikiwa ni Muendelezo wa kauli ya Serikali ya kutaka kuyatunza Mazingira.
Meneja wa Kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt,Consolata Adam akipanda mti kwenye eneo la Shule ya Msingi Mlimani,iliyopo ndani eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni Muendelezo wa kauli ya Serikali ya kutaka kuyatunza Mazingira katika maeneo mbali mbali nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)muda mfupi baada ya zoezi la kupanda miti katika eneo la Shule ya Msingi Mlimani,iliyopo ndani eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja wa Kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt,Consolata Adam.
Meneja wa Kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt,Consolata Adam akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)muda mfupi baada ya zoezi la kupanda miti katika eneo la Shule ya Msingi Mlimani,iliyopo ndani eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani iliyopo ndani ya eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Mwl. Pendo Kujerwa (kulia) akimkapatia kitabu cha wageni,Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana.katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mh. Jordan Rugimbana akiwasihi wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani kuhakikisha wanaitunza miti hiyo kwa kipindi chote watakapokuwa hapo shuleni.
You are DOING THE RIGHT THING, BUT WRONG PLACE ............maeneo ya mlimani ni mfano wa utunzaji wa mazingira ,mlitakiwa hizi project mkafanye mikoa kama ya shinyanga maana uharibifu na tishia ni kubwa mno kwa sasa
ReplyDeleteMdau