Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Barbara Kambogi (kushoto) akiongea mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Southen Sun,Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Washiriki wa Big Brother Afrika (Julio na Hilda walio katikati) na Waandishi wa Habari .Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu.
Aliekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame,Julio Batalia akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.
Aliekuwa Mshiriki wa Big Brother Stargame,Hilda Reiffenstein akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mchana huu kuhusu ushiriki wake katika jumba lile la Big Brother.
Kutoka kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Furaha Samalu,Hilda Reiffenstein,Julio Batalia na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multichoice Tanzania,Barbara Kambogi.
Baadhi ya wanahabari waliofika kwenye mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2012

    Bora mmerudi nyumbani mapema kuepuka aibu kama za Bhoke. Msihofu maisha yataendelea

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2012

    better the eviction rather than the ugly scenes we experienced in the past from such participants as Bhoke

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...