Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Simba na Yanga ikiwa ni sehemu ya  kampeni mpya ya Bia hiyo inayokwenda kwa jina la 100% Tanzania Flava  ikiwakilisha Michezo yetu ambayo imezinduliwa rasmi usiku wa kuamkia leo kwenye kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam..
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wanamuziki Prof. Jay na Janet wa Twanga Pepeta ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo ikiwakilisha Muziki wetu.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akiwa katika picha ya pamoja na Wacheza filamu,Jacob Steven na Aunt Ezekiel ikiwa ni sehemu ya kampeni hiyo ikiwakilisha Filamu zetu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...