Waandamanaji wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI) wakiendelea na maandamano yao mapema leo asubuhi.maandamano haya ambayo yamesababisha vurugu kubwa kisiwani humo,iliyopelekea kuchomwa moto kwa moja ya makanisa pamoja baadhi ya magari yaliyokuwa yameengeshwa karibu na njia wapitazo.vurugu hizo zimeanza jana usiku baada ya kukamatwa kwa kiongozi wa Juimuiya hiyo.
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia Ghasia wakifanya doria katika mitaa mbali mbali ya Zanzibar mapeka leo asubuhi.
Hii ndio nembo ya Jumuiya hiyo.Picha kwa hisani ya mdau wa Zanzibar
Rais JK na Shein ingilieni kati pliiz .Mambo huwa yanaanza hivi hivi taratibu.Chondechonde siasa na dini...........
ReplyDeleteDavid V
Nyinyi mkiharibu sisi huku ughaibuni tunajiripua ukimbizi. ila msichime makanisa mtafanya njia ya kukamata uraia wa nje kuwa nyembamba kidogo. Mnajua wadau wa kanisa ni wazungu wenyewe huku tulipo. Kumbuka ugomvi ni kwa serikali sio raia weusi wenye imani tofauti. We are all black, never let colonial religious theories divide us.
ReplyDeleteBabu wa busara nato hekima zangu
Haki (ukweli) hauwezi ukachanganyika na uongo hata siku moja.Mkanganyiko wa Muungano wetu ni mkubwa tu,lakini sijui tunavichwa vya aina gani tunashindwa kutatua mgogoro huu wa Muungano. Kama kweli "we are determined" basi tutatue kwa kutumia akili tulizopewa na Muumba, wala hatuhitaji polisi au jeshi kusimamia hilo. Watu wakae wajadili na waafikiane na kila mwananchi afahamu. Siyo tuweke kitu ambacho tunasema tafsiri yake wanajua watu hawa tu,sasa ina maana gani ya kuandika na kusema hii ni ya wananchi.Tunataka kheri na si shari. Kwenye vurugu wabadhirifu kuwajua si rahisi, yahitaji uchunguzi wa kina ikibidi hata DNA na finger prints kwenye vilivyoguswa.Nawatakia kila la kheri Wazanzibari na Muumba awaongoze.Na siye tuliyoko Tanganyika tunamambo mengi yanatugusa,nchi yetu bado masikini, lakini Mali ziko nyingi unashindwa kuzihisabu.Kila Mtanganyika alijue hilo na tumuombe Mola atulinde na kila lililo na shari kutoka kwenye maadui wa nje na walioko ndani humu humu ambao wanawatumikia wakoloni wao,manake wako bado vibaraka vya wakoloni. Ndiyo maana tuna maandishi mengi yana jikanganya.Niishie hapo manake ni mengi yahusuyo nchi,huwezi kuyachambua kwa wakati mmoja.Kila Mtanganyika na Mzanzibari asome vizuri vitabu mbali mbali atafahamu ukweli wa mambo.
ReplyDeletekaka msiba mkubwa huu leo kwa uislam, waaislam wanaipigania dunia inaonyesha leo tunaipenda dunia kuliko akhera kinyume kabisa na mafundisho ya kiislam na kiongozi wao peace be upon him.
ReplyDeleteIts so sad, nashindwa kuelewa mwenzao kukamatwa na polisi na wao kuchoma kanisa, kwani kanisa ndo limemshikilia mwenzao? (any hidden agenda) Mungu tusaidie na mambo haya nadhani ni vema tu tukarudi kuwa Tanganyika walioianzisha Tanzania hawapo na sisi hatuwezi tena kuhimili huu muunganiko
ReplyDeleteRemember no blood shall be lost freely. There is always a cost to such evil hate against humanity, and that cost is always just around the corner. What goes around comes around.
ReplyDeleteSIKUBALIANI KWA HALI YOYOTE ILE VURUGU KATIKA JAMII, Lakini nasikitika kusema ulimwengu tunaoishi sasa ni waajabu sana, mikusanyiko ya watu kutangaza maasi i.e. ulevi, muziki na kadhalika na kuitwa promotion hakuna tabu. Lakini watu kukusanyika na kuongea maneno ya Mungu inakuwa kero kwa serikali. Halafu kila siku tuna lalamika maadili katika jamii yanaporomoka. Hii hatari sana jamani!! Michuzi usibanie hii tafadhali.
ReplyDeleteAcheni kuichafua zbr na ujinga wa kipumbavu na viongozi wasiokuwa na maana wanakupotosheni ikiwa hamtaki muungano jee mtaweza kujiendesha wenyewe kimaisha angalieni mbele tiazameni libya na iraq hawana amani acheni mawazo potofu. Muungano uendelee kuwepo si wakubwa wenu waitishe kikao wakubaliane wanzanzibari hamuwezi kujiendesha wenyewe wengi hamjasoma elimu ya kutosha mjielimishe na mpime kiakili
ReplyDeleteTuwaombee waleta vurugu wameshiba amani na utulivu.
ReplyDeleteMWALIMU ALISEMA KWELI; kuna Waunguja na wapemba, Wazanzibari na Wazanzibara .
ReplyDeleteUnayetetea kujitenga upo ktk kundi gani kati ya hayo manne ???
Naona wagunya kadhaa ktk background
toba alshabab washafika...kama kawaida wanapitia kwenye hii dini iliyogeuzwa kichaka cha wahalifu.
ReplyDeletehaya ...na WEWE FAKI TABIA GANI HIYO YA KULTEA MCHEZO KUIGIZA PALE SHULE YA KIKWAJUNI KWENYE MAANDAMANO. HIYO FULANA KUITIA TOMATO KETCHUP NA KUDAI MTU KAVUJA DAMU MAANAKE N'NINI ATI?. HUJAKUA WEWE NA HAYO MAMBO YA KIHUNI. HEBU NENDA KAPATE BOFLO NA CHAI ULALE ATIII. KEROOOO.
ReplyDeleteangaliyeni sana wasiletu wakuriya kuja kutulinda usalama wetu wakatupiga pure na kutuharibia watoto wetu wanaolinda usalama wawe wa nchi yetu siyo wa jamhuri ya muungano
ReplyDeletetumechoka tomechoka tunataka nchi yetu na maskofu wanafurahi sisi kumwanga damu zetu.
michuzi weka hii kitu please usikibaniye
hiyo ni boko haramu ya tanzania, kinachofuata ni kujilipua tu.
ReplyDeleteNaam Kikwete umwmzidi Nyerere, kwani Nyerere alitamka kuwa hatowapiga mabomu Wazanzibari wakikataa muungano lakini leo hii Amiri jeshi kikwete anatupiga mabomu kwa kuonesha tuu hisia zetu za kukataa muungano. Ila ujuwe aluta continua, haturudi nyuma kudai Zanzibar yetu vyovyote itakavokuwa,
ReplyDeleteTunapoelekea kwakweli ipabaya sana, lakini hii inaonesha elimu nitatizo kubwa sana visiwani Zanzibar, kama tatizo nimungano basi lishughulikiwe kwa kura yamaoni, ila wasiwasi wangu nikuwa hao wakristu wanao ishi uko visiwani watakuwa na haki yakuabudu kama wingine? serikali inatakiwa kutoa maelezo kwa wakristu wote nchini ilikuepucha vurugu na vita zakidini ambayo itaturudisha atua mia nyuma zaidi
ReplyDeleteKwani hwa uamsho wamezuiwa kufanya maandamano na kanisa? I think wana ajenda nyingine....this is ignorant move...! Ujinga mtupu wanaiga Syria...!
ReplyDeleteWapeni hao nchi yao hakuna haja ya kuwang'ang'ania.
ReplyDeleteWa-Zanzibar mie nawashangaa kukubali kuendelea kuburuzwa kwenye huu muungano. Huu muungano wa ajabu sana na I think Zanzibar peke yake will do better than wakiwa ndani ya muungano.
ReplyDeleteMtanzania bara
Hivi wazanzibar ni kabila gani? uisilamu sio kabila, ni culture ya waarabu. Watu wenye fikra za kitumwa utawaona tu. Sasa mkichoma makanisa ndio mtafaidika na nini, chomeni tutajenga mengi zaidi. kwanini mnaogopa ukristu, mnataka kuwalazimisha watu kuufuata culture ya waarabu?? waache kila mtu awe huru kuchagua.
ReplyDeletemuungano uvunjike tuwatumbukize ndugu zenu baharini, kumbuka wako laki tano huku.
Kweli kabisa: Akutukanaye hakuchagulii tusi. Maana yangu ni kuwa iwapo tunataka kuchoma kanisa, kisa tutakipata tu: iwe muungano, kukamwatwa kwa mtu, mafuta au mwondoko wako. Je, hakuna wazaliwa ambao ni wakristo na wazenji wazuri? Au kanisa hilo wanaenda watanganyika tu? Chonde chonde jamani, tunaelekea kubaya.
ReplyDeleteDU. tuendako siko kabisaa. Kama ndio msimamo wa Wazanzibar wengi kwamba hawataki Muungano, basi wachukue Zanzibar yao kwa amani, sisi hatuna huo moyo wa kuchoma maduka ya waunguja na wapemba mikoani kote Bara! wala kuchoma misikiti popote Tanzania.
ReplyDeleteThis is soo bad as i said b4, makanisa yanauhusiano gani na muungano? ok then Wakristo wa Tz amkeni hii ni ishara mbaya sana na je ss tukitaka kuichoma misikiti? Anyway ni hivi misikiti iwe Zanzibar na kwetu huku yabakie makanisa tena tuanze fujo next friday ili nao wasiwe na uhuru wa kuabudu
ReplyDeletewaachieni nchi yao kwani lazima muungano wa maguvu.
ReplyDeleteWaachie kiplot chao cha ardhi. Sisi tubaki na nchi yetu. Kisha watawaliwe na waarabu wanaowakumbatia. Wajue uislam ni utamaduni wa kiarabu. Kwa hiyo sisi waafrika tusidharau tamaduni zetu tukadhani za wageni ndo sahihi. Je, kama waarabu na wazungu wasingetutawala, kwa sasa kungekuwa na 'uislam' na 'ukristo'? Mbona mababu zetu walikuwa na dini zao za asili na zilifanya vizuri tu.
ReplyDeletevichwa maji utawajua tu... ubara utabaki ni tanganyika na uzenji utabaki zanzibar.. sasa nauliza nyote mlotangulia kutoa comment hapo juu kwani hawa viongozi wetu wanaounang"ania muungano wana ajenda gani mpk ishindikane kujigawa... au wanaona huko visiwani wataendelea sana kwani huo ndio ukweli.. wenzetu wanasoma historia kwa saana tu sio sisi wabara tumezowea kudesa story... tanzania daima i think..
ReplyDeletenahii bania ankal.... wazenji waacheni na nchi yao,kwanini watanganyika mng'ang'anie kuwabana koo mpaka wenyewe wameshtuka.. maana ukweli hao viongozi ni vibaraka wa wa wabara.. finish
ReplyDeletewaachieni nchi yao, je wazanzibari na waunguja ni wangapi wako tanzania bara? mtazamo wa wazanzibari ni mfupi hawaangalii mbali, waachieni nchi yao halafu tuone watakavyosuffer,wanataka kuleta habari ya syria? kwani sisi tunafaidika na nini na huo uzanzibari? hawalimi, hawasomi,wamelegealegea tu kama si bara hao si chochote, wanategemea msaada wa muarabu si mpaka awakumbuke? waangalie nchi za kiarabu zinavyouana. upuuzi mtupu
ReplyDeleteAma kweli humu kuna vichwa vibofu sasa ukisema na huko bara wachome misikiti moto ili wasipate kuabudu Kwanza Unaona kuwa tz bara waislam ni wawili ujuwe kabisa ni asilimia 50/5O huko na kwani kuna lazima ya muungano kuwepo mbona mnang,ang,ania muungano y?wazzbar tupewe nchi y2 ttz ni nini?
ReplyDeleteHawa wananichanganya, mara muungano, mara uisilamu kwa nini sasa, ukifanya hivyo nguvu inakuwa ndogo , kama ni suala la muungano basi achana na mambo ya uisilamu, kwasababu mambo haya mawili hayana uhusiano, wako wasio penda muungano siyo waisilamu kwanini unawatenga?
ReplyDeleteBado nasisitiza naomba msajili hicho kikundi kiwe chama cha siasa, na mtapata kura nyingi, trust me, am a doctor.
ni mimi Abdallah Juma-Ughaibuni.
CDM Mnashangilia...eeh?
ReplyDeletemnaona hawa BOKO HARAM wakifanikiwa na nyinyi mtapata 'justification' ya kugawa nchi!
Sisi tunasema, vurugu za namna hii Z'bar hazikuanza leo, naamini zitaisha kwa hiari au kwa lazima!
Mwisho tunasema, MUUNGANO hauvunjwi wala TZA haitagawiwa kwa MAJIMBO!
Ambao wamechoka TZA warudi huko walikotoka wazazi wao naamini ndugu zao watakua bado wapo! kama ni uarabuni au nchi jirani!
Kujitenga na wabara ndo ajenda yetu. Hamuelewi nini hapo? ebo!
ReplyDeleteMafuta yetu kwa nini yawe ya muungano?
ASIETAKA MUUNGANO APANDE JAHAZI ARUDI ARABUNI, OMANI AU YEMENI !
ReplyDeleteKWISHA KAZI !
Kwa Anonymous wa pili: Kwa taarifa yako baadhi yenu mlioko ughaibuni ndo manchochea haya. Kama wewe ni muungwana basi ujue wenzako si waungwana. Wana ajenda zao za siri.
ReplyDeleteNi vizuri hao waliochoma makanisa wakakumbuka kua kuwachukia wakristo ilhali ndugu zao wapo kwa wakristo majuu wanapata mlo kutokana na rasilimali zao, ni dhambi kubwa ambayo hawatasamehewa na mola wako. Ni vigumu sana kuwafanya watu wote wawe waislamu hata kama ni kwa vita.
Mdau uliyesema serikali inaruhusu mihadhara ya promotion lakini inakataza mihadhara ya dini uangalie pia madhara ya kufanya muhadhara unaotukana dini nyingine. Tuna mifano hai mingi ambapo mihadhara mingi hasa ya kiislamu inatukana ukristo. Je wakristo nao wakiamua kuwatukana waislamu kutakalika? Au pengine kwa vile ninyi wengine hamthamini maisha ya hapa duniani mliopewa na Mungu ndo maana mko tayari hata mkipoteza maisha kwa vita?
ReplyDeleteNawashauri polisi wawazingire wakamate wote kisha wawaweke ndani kwa viboko na virungu na anayekimbia wapige risasi za miguu ili wawakamate kisha wakiwa vilema ndio watajua mtu asiye na miguu anavyopata shida.
ReplyDeleteKuwapiga mabomu kwa mbali sio dawa....dawa mimina polisi 2000 ndani ya zanzibar kwenye makundi kisha kamata wote.
Uamsho ni chombo kinachoondoa amani ya nchi na ni nani aliyekiregister bila kujua lengo lao hapa nchini kwetu.
Serikali ijue majina tu ndio yanabadilika ila vikundi vya kuvuruga amani ndio hivyo hivyo.
Namba wasiachiliwe ila waambiwe hamtoki wala hamsikilizwi mpaka muwaambie ndugu zenu waache kuchafua amani
Wadanganyika bwana wananichekesha kwa commment zao duu historia yao hata hawaijui masikini za mungu duu, huyo baba yenu wa kanisa mlio mbatiza baba wa taifa amepigania uhuru wa nchii hii peke yake nani aliye mbeba yena na kumfadhili kama si waisilamu? hata alikuwa hajulikana katoka na njaa yake huko butiama ndo maana alivyopata uhuru akawakamata walio mfadhili AMAA KWELI SHUKURANI YA PUNDA MATEKE.
ReplyDeletena nani kakwambia bwana hatujasoma some historia wote nyinyi wadanganyika mnao danganywa kila leo, zanzibar ili kuwa inajitosheleza kwa kila kitu, kwa wasomi, kwa wapapakazi, wakulima na utawala.
mtabaki hivyo hivyo kusema hatujasoma na pia tunawakumbatia waarabu je nyinyi hamuwakumbati wazungu kila leo mnafadhiliwa na sisi tunataka nchi yetu hata kama ni KA KI PLOTI kadogo kadogo tunaitaka tuachiyeni wenyewe.
BABA WA KANISA (NYERERE) Na siyo baba wa taifa wetu,visiwa hivi viwili vilikuwa vina muumiza kichwa na kumkosesa usingizi ASK YOURSELF WHY? soma historia bwana wee usije hapa katika blog ya michuzi na kuandika utumpo utumbo mtupu na kujifanya una akili na umesoma ujinga mtupu.
kwa nini muushikiliye mungano na hatu taki mnatubana koo na koti tunataka kulivua hatulitaki tena koti hili la mfumo kiristo.
hatujachoka kanisa kwa sababu ya ukiristo tumechoma kanisa kwa sababu ya UFISADI UNAOTUMIWA NA KANISA,KUTULETEA USENGE UHANISI NA TABIA ZOTE CHAFU CHA FUU KWENYE NYUMBA YA MLANGO KWA KUTUMIA HUU MUUNGANO.
Wajinga daima ndo walioa wao, utasikia leo hii ooh zanzibar ina udini, baba yetu wa taifa nyerere alikuwa hatumi udini?
utasikia leo hii ooh zanzibar ni ka plot, well tuachieni wenyewe ka ploti chetu na mtuone kama tutashindwa kukiendeleza
utasikia leo hii oo wale wazanzibari waliopo bara watapata taabu, kwani wazungu wapo hapa kwani nchi yao hii au rai wote ni watanzania na tunapokuwa majuu inakuwaje,wacheni akili finyu
tumechoka kuzaliliswa tunataka nchi yetu ZANZIBAR IS NOT SOMEBODY PRIVATE COMPANY mkataka kushibisha matumbo yenu nyinyi wakuu pamoja na family zenu kumbuka kesho utakufa na YOU WILL BE ANSWEARABLE TO YOUR LORD, Usidhani mungu atakuacha hivi hivi tuu ohoo, vimbo ya mungu kali zulma zulma ina mwisho wake.
eti tusichanganye udini na siasa kwakwambia nani,labda hapo tulipokuwa tunadanganywa na baba yenu wa kanisa not now, siasa na udini zinakwenda sambaba katika visiwa hivi mtake msitake na matangazo yenu ya bia,usenge wa kitali mfanye huko huko kwenu bara not here not any more
rais wetu hata hana nguvu akifika huko kwenu bara anakuwa kama waziri huku ndo mnatudanganya tuna raisi,wakati tulikuwa na nchi yetu
the first television to start was in zanzibar,etc mambo mengi tu baba yetu wa taifa KARUME MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA KATUFANYIA AKAJA MZANAKI KIRISTO NA UJANJA UJANJA WAKE WA KUUNGANA,MUNGU ATAMLIPA HUKO ALIPO
MICHUZI USIBANIYE HII COMMENT KAMA WAO UNAVYO WACHAPISHIA NA SISI TUCHAPISHIYE HII COMMENT YETU PLEASE.
MAASKOFU MKAA MACHO WAZANZIBARI TUMESHAAMKA HATULALI TENA NA TENA TUNATAKA NCHI YETU NA TUKIPATA MTAENDELEA NA DINI ZENU HATUKUPIGINI VITA ILA KUBURUZWA TENA HATUTAKI NA KUONEKANA WAJINGA TENA HATUTAKI.
ETI LEO HII TANZANIA HAINA DINI, MUULIZE ASKOFU ATAKUAMBIA WEWE MDANGANYIKA, NCHII HII NI YA WAKIRISTO LAKINI HAPA ZANZIBAR NDO FULSTOP MTAKOMA WENYEWE MTAKE MSITAKE
MAPAMBANO DAIMA TUKIWA WAHUHI AU SIJUI HATUKUSOMA MTAJAZA WENYEWE, MWENYE AKILI ANAJUA WAZI KWAMBA HAYO MUYASEMAYO SI KWELI KWASABAU KWENYE HISTORIA YA UKWELI MNATUJUA WHO WE ARE FOR REALLY
Wote mliofanya vurugu siangalii sura ya mtu ninyi nyote ni wajinga,FFU wa huko Zanzibar wanawaonea huruma kwa taarifa yenu wanakuja FFU wa huku bara mmekwisha,kisago mpaka vyumbani sasa kama umekula urojo kwisha kazi
ReplyDeletemimi nimeishi zanzibar kwa muda mrefu
ReplyDeletenimeona kwa macho yangu matukio mengi ya manyanyaso kwa wabara nikiwemo na familia yangu,kanisa katoliki kigango cha bambi kuchomwa moto,mitaa ya mwera kanisa kuchomwa moto,wakaazi wa kijiji cha boma mkoa wa k'kazini kuibiwa na wazawa na kesi kutoendelea,manyanyaso ya wanafunzi wa kikristu mashuleni.leo mesikia au kuona makanisa yakichomwa moto,mabaa na mali za wakristu kuharibiwa na wabara kupigwa.JE HIZO NDIZO KERO ZA MUUNGNO AU KUNA KINGINE KINACHO TAKIWA?NAWAOMBENI VIONGOZI WETU MNAONUFAIKA NINYI WENYEWE NA FAMILIA ZENU,MUWAACHIE ZANZIBAR YAO.TUMECHOKA KUNYANYASIKA HUKU ZANZIBAR,TAFAZALI RAISI KIKWETE NA UONGOZI WAKO UJUE KUA HUKU ZANZIBAR TUNANYANYASIKA LEO NIMEAMUA KUWAJULISHA HALI HALISI YA WABARA WANAOISHI HUKU ZNZ,
DINI NA SIASA NI KITU KIMOJA,
ReplyDeleteMUUNGANO NA DINI NI KITU KIMOJA
SWALI:
KWA NINI WAKRISTO WANANG'ANG'ANIA KUUNGANA?
JIBU:
WANAJUA KUWA DINI NA SIASA NI KITU KIMOJA.
DINI NA SIASA NI KITU KIMOJA,
ReplyDeleteMUUNGANO NA DINI NI KITU KIMOJA
SWALI:
KWA NINI WAKRISTO WANANG'ANG'ANIA KUUNGANA?
JIBU:
WANAJUA KUWA DINI NA SIASA NI KITU KIMOJA.
KWANZA WANATUJAZIA NAFASI YETU HAPA FUKUZA WOTE SUNAMI IKIJA WAKOSE PAKUKIMBILIA.HATUTAKI VITA HAPA NA MADEVU YAO
ReplyDeleteSIONI FAIDA ZA MUUNGANO....HASA UKIZINGATIA KUWA TUNAO UNGANA NAO HAWATUHITAJI!! MTAKAPO CHUKUA KISIWA CHENU, TUSIONE MZENJI HUKU BARA, VINGINEVYO NI KUVUNJANA UGOKO TU!!
ReplyDeletewanaoandamana na kuchoma makinisa ni wajinga tena hawajui wanacotaka! kama tatizo ni muungano kwanini hamuja target serikali na mali zake bali munaumiza masikini watu wanyonge kabisa! hii ni kusema nyie ni waoga sana wala hamutaenda mbali! jambo la maana ni kuelekeza madai yetu kwa serikali acheni wakristu wachache na wanyonge waishi kwa amani! ni kweli munaweza hata kuwauawa hao wakristi lakini imani yao hamutaweza kuiua! stop fanatism in Zanzibar! haita saidia hata mkibaki waislamu peke yenu fanatism itaharibu mali zenu na kurudisha nyuma maendeleo! MUNGU IBARIKI ZANZIBAR, MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA!
ReplyDelete