Home
Unlabelled
hii imekaaje wadau...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ooh my God, hawa wazazi wanaweza kushtakiwa maana hii ni sehemu ya abuse kwa watoto
ReplyDeleteWho could do something like that to their baby? If U are busy in SHAMBA or anywhere how about laying the baby on the ground? That's totally inhuman and unacceptable.
ReplyDeleteHuyu mama mwambie asirudie tena kufanya neno hili, maana tutamfunga sasa, kwanini anafanya hivi, huyo mtoto alilazimishwa kumzaa au ni nini hiki?
ReplyDeleteNOBODY IS HAPPY WITH THAT.
huu ni unyanyasaji wa watoto. Nalaani kitendo hiki.
ReplyDeleteHuu ni unyanyasaji. Kama huyo mlezi alishindwa kumbeba mwenyewe si angemlaza mahali?
ReplyDeleteHongera sana mama mzazi. Chini huwa kuna pita nyoka , nge na wadudu wengi ambao wanaweza kumdhuru mtoto. hapa mama katumia busara ya kuzaliwa siyo ya shuleni, hapa mama yuko na jembe lake anaendelea na parizi,mtoto kawekwa ghorofani salama salimini. Obeja mayu. Zebedayo.
ReplyDeleteHuu ni utesaji wa watoto, huyu mtoto anaumia hapo na pia kuna uwezekano wa kuwepo na wadudu ambao wanaweza kumshambulia huyu mtoto. Inasikitisha na tunapaswa kuwahurumia watoto.
ReplyDeleteMama wa huyo mtoto ashtakiwe manake Huu ni unyama kwa kweli africa kupata msaada wa kulea ni kibao.
ReplyDeletewako watu wanatafuta watoto hata wa kusingiziwa ila hawapati mwenzetu kapata ila ndio hivyo tena anamweka alelewe na mti mstzzzz
watu wengi wanapiga kelele juu na kusema kuwa huo ni unyanyasaji wa mtoto, ambao kwa kwa kiasi fulani wako sawa kusema hivyo. Hata hivyo nyoote mnasahau kujiuliza ni sababu gani na kwa mazingira gani aliyonayo mama mzazi hadi kufika kumuweka mwanawe hapo? tatizo halianzii hapo kwa mzazi bali ni jamii nzima kwa kuruhusu wachache kuendelea kujinufaisha binafsi na kuwaacha wengi wetu tukiwa masikini wa kutupwa. Miaka arubaini na ushee ya tanzania na mkulima anashindwa kumpatia mwanawe matunzo bora wakati akiwa shambani!!! inauma sana!!!
ReplyDeletemtoto mwenyewe kalala usingizi, ila minazi ina wadudu wanatambaa, hata nyoka anatambaa kwenye mnazi. Ila Mama hafanyi kitu kama hiki, bila ya kufanya uchunguzi kwanza. Hebu huko nyuma angalieni kuna ukuta wa matofali, hapo shamba gani?. Basi mnapayuka tu, use your grey matter.
ReplyDeleteKAMA ULISHAWAHI KUONA CHATU KAMEZA MTU HUSUSAN WATOTO SHAMBANI HUWEZU KUMLAANI MAMA HUYU NA BUSARA ZAKE. KUMBUKA AFRICA SIO ULAYA HAKUnA BABY SITTER MAENEO hayo YA VIJIJINI. NI MIMI KAKA YENU WA ULAYA LAKINI BADO NAKUMBUKA HALI HALISI YA MAMA SHAMBANI,MTOTO MTINI, NA HUKU BABA KILABUNI NA ULABU WAKE. we have a long way to go, Mafisadi mtuonee huruma tuondoe umaskini na juboresha akili kwenye shule bora
ReplyDeleteHivi kuti la mnazi ama nazi ikimdondokea huyu mtoto, huyo aliyemweka mtoto hapo atasema bahati mbaya? Nafikiri huyo mtu anahitaji elimu ya kujua hatari na madhara yake ili wakati mwingine asifanye tena
ReplyDeleteNi hatari sana sana fikiria vidaka na nazi zinazoanguka toka kwenye mnazi zikimgonga kichwani,achilia hilo kuna nyoka wengi tu huwa wanapanda na kushuka toka mnazi wakati wowote hapo itakuwaje??ni hatari sana ingawa labda mazingira aliyopo ndio angalau safe kidogo!!duu malezi kwa usalama ni jambo gumu kidogo vijijini!!!
ReplyDeletehiki ni kielezo halisi cha maisha yamtanzania wa kawaida, katika hali kama hii katika nchi zilizoendelea angewekea matoy na vibembea huku mzazi akiendelea na kazi zake, mzazi anastahili pongezi kwa ubunifu wake badala ya kuanza kumlaumu
ReplyDeleteWajameni, sasa NAZI ikimuangukia kichwani huyu mtoto si itakuwa balaa, but I thibk the maza did with with love and not otherwise.
ReplyDeleteHatuwezi kuzungumza sana kwa sababu hatujui mama yuko wapi au amepatwa na nini inawezekana yeye yuko ktk hali mbaya zaidi tuache kukurupuka
ReplyDeleteHongera Mama. hapa hakuna nge wala siafu wala wadudi watmbaao ardhini.
ReplyDeleteduh hii kweli hataringiii
ReplyDeleteMAzoezi ya kupanda daladala yanaanzia mbali. Ni mwendo wa kuning'inia mlangoni huo ATAKAPO KUWA MKUBWA . Huyu mama anajua shida ya usafiri itakayo mkumba mwanae mbele ya safari. Nchi itakuwa hivyo hivyo kama ilivyo HIVI sasa PINDI mtoTO huyu ataKAPO kuwa na umri wa miaka 50. Shame on our infrastructure mikakati. MAFISADI ZIIIIIIIIIIIIII. ccm hoyeee....Chadema hoyeee..ni walewale tu.
ReplyDeleteMZEE WA BUSARA.
Wazazi wawili hapa Baba na Mama inatakiwa wakamatwe mara moja,,,
ReplyDeleteHii sio sawa ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinaadamu, kwa sababu mtoto ni haki yake kuwa chini ya ungalizi wa mzazi mmojawapo au wote kwa pamoja kila dakika!
Haiwezekani mtoto afungwe hivi peke yake,
1.Je pakitokea mdudu mfano nyoka huku mtoto yupo peke yake itakuwaje?,
2.Je mzazi aliyemweka hapo pasi na mzazi mwenzie kujua mtoto alipo, mzazi aliyemweka mtoto hapo akipata dharura labda ameanguka sehemu anaumwa, au amekamatwa na Polisi au ametekwa na watu wengine akapelekwa kwingineko, au ameenda sehemu akalewa akapitiwa na kukumbuka mtoto alimwacha peke yake ,je itakuwaje?
Usimamizi wa mtoto muda wote kila sekunde inatakiwa awe chini ya uangalizi wa mlezi, mzazi au wazazi!