Injinia  Mfaume Abdulrahman Ghasia na Saidath Kilugwe Tengeneza na wapambe wao wakielekea kwenye mnuso baada ya kumeremeta katika ukumbi wa Cleaopatra uliomo katika jengo la Quality Plaza jijini Dar es salaam leo. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2012

    Hongereeni sana...sana.Engineer Mfaume hilo 'pozi' hapo ukiletewa 'DRWAWING BOARD'itakuwaje?Utatimua mbio?

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2012

    Haaaa haaaa, Hongeraaa sana kaka, iyo furaha mliyokuwa nayo hapo iwaunganishe milele na milele - Eng. Mwembere

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2012

    Pongezi Mhandisi mwenzetu Mfaume na mai waifu wako. Tunawatakia kila la heri na baraka. Engineer mwenzako.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2012

    Hongereni sana maharusi,mnavutia kwa macho nanyi mpendane siku zote,na inshallah Mungu atawajaalia watoto wazuri kama nyie.Karibuni kwenye ndoa!
    MAMA FARHAT-MTWARA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2012

    Hongereni sana maharusi,mnavutia kwa macho nanyi mpendane siku zote,na inshallah Mungu atawajaalia watoto wazuri kama nyie.Karibuni kwenye ndoa!
    MAMA FARHAT-MTWARA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2012

    kwa ujumla maharusi mmpendeza mno!Mwenyezimungu Awajaalie watoto wema na wazuri kama nyie!kila siku iwe kama leo katika maisha yenu.

    MAMA FARHAT-MTWARA

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2012

    kwa ujumla maharusi mmpendeza mno!Mwenyezimungu Awajaalie watoto wema na wazuri kama nyie!kila siku iwe kama leo katika maisha yenu.

    MAMA FARHAT-MTWARA

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2012

    kwa ujumla maharusi mmpendeza mno!Mwenyezimungu Awajaalie watoto wema na wazuri kama nyie!kila siku iwe kama leo katika maisha yenu.

    MAMA FARHAT-MTWARA

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 28, 2012

    hongereni jaman yaani mlipendeza kila la kheri na watoto wengi muwalete, uncle juma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...