Injinia Mfaume Abdulrahman Ghasia na Saidath Kilugwe Tengeneza na wapambe wao wakielekea kwenye mnuso baada ya kumeremeta katika ukumbi wa Cleaopatra uliomo katika jengo la Quality Plaza jijini Dar es salaam leo. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Injinia Mfaume Abdulrahman Ghasia na Saidath Kilugwe Tengeneza wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongereeni sana...sana.Engineer Mfaume hilo 'pozi' hapo ukiletewa 'DRWAWING BOARD'itakuwaje?Utatimua mbio?
ReplyDeleteDavid V
Haaaa haaaa, Hongeraaa sana kaka, iyo furaha mliyokuwa nayo hapo iwaunganishe milele na milele - Eng. Mwembere
ReplyDeletePongezi Mhandisi mwenzetu Mfaume na mai waifu wako. Tunawatakia kila la heri na baraka. Engineer mwenzako.
ReplyDeleteHongereni sana maharusi,mnavutia kwa macho nanyi mpendane siku zote,na inshallah Mungu atawajaalia watoto wazuri kama nyie.Karibuni kwenye ndoa!
ReplyDeleteMAMA FARHAT-MTWARA.
Hongereni sana maharusi,mnavutia kwa macho nanyi mpendane siku zote,na inshallah Mungu atawajaalia watoto wazuri kama nyie.Karibuni kwenye ndoa!
ReplyDeleteMAMA FARHAT-MTWARA.
kwa ujumla maharusi mmpendeza mno!Mwenyezimungu Awajaalie watoto wema na wazuri kama nyie!kila siku iwe kama leo katika maisha yenu.
ReplyDeleteMAMA FARHAT-MTWARA

hongereni jaman yaani mlipendeza kila la kheri na watoto wengi muwalete, uncle juma
ReplyDelete