Innocent Nganyangwa akiimba kwa hisi jukwaani usiku huu,kwenye tamasha la kumuenzi hayati Bob Marley.
Mwanamuziki mkongwe wa reggae nchini Tanzania  Innocent Nganyagwa akikamua usiku huu kwenye tamasha la carribean beat,lililoandaliwa kwa ajili ya kumkumbuka muasisi wa muziki wa reggae Ulimwenguni,Hayati Bob Marley,tamasha hilo linafanyika ndani ya viwanja vya posta,Kijitonyama jijini Dar.Picha zaidi ingia Hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...