Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2012

    Ubunifu zero mmekopi idea ya CCM

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2012

    Saaaafi.....kukopi kitu chenye manufaa ni jambo jema.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2012

    Hii blog mbona ipo muda mrefu ! CCM wamenzisha majuzi tuu.CDM tuhabarisheni,askari wa miguu typo tayari kurudisha nchi kwa wapiga kura.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2012

    Tumeshamjua anaeendesha blog hii ni mtu makini nadhani anajichongea

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2012

    We anony wa kwanza. Jifunze kuchunguza Kabla huja comment. Blog ya CHADEMA imeanza mwezi wa nne na ya ccm imeanza wa tano - ya CHADEMA imeshatembelewa na zaidi ya watu alfu 10 ya ccm hata watu alfu 3 hawajatbelea- ya CHADEMA ishatoka Kwenye social Medea sana kwa taarifa yako- VIJIMAMBO , swahillivilla - Facebook you ne it.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2012

    CHADEMA kwa kuiga... hata ufisadi mnaiga. Kazi tunayo watanzania.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2012

    CHADEMA NCHI NI YENU HAKYA MAMA!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2012

    wote CCM, CHADEMA wamekopi idea ya NCCR-Mageuzi

    NCCR walianza Oktoba mwaka jana, CHADEMA wakafuata April mwaka huu, ya CCM imekuja mwezi huu. Ushahidi uko wazi, angalia posts za kwanza zilizowekwa.
    Yale yale hata kwenye uanzishaji wa tovuti, NCCR ndo waasisi

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 08, 2012

    CHADEMA ndio walioanza CCM wakafuatia kuanzisha, Michuzi ndiye alipoona ya CCM akaangalia je kuna ya CHADEMA ndio akagundua kumbe CHADEMA nao wanayo

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 08, 2012

    Aibu kubwa chama kinachotegemewa kuongoza nchi kuwa ya .blogspot. Leo hii google wakiamua kutosupport hii free server in maana kila kitu kimepotea. Aibu kubwa na mawazo mafupi.

    Watanzania tuamke jamani!!!

    GM

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 08, 2012

    niko tayari kila mwezi kipato changu kikatwe kuchangia maendeleo ya chadema,hiki chama nakipenda sana.
    please anzisheni hiyo proposal tuanze kazi,wanaume tupo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 08, 2012

    Wawe wameiga au vinginevyo lakini wazo zuri. CCM wenyewe sio waanzilishi wa jambo hili Duniani. Kuiga mambo mazuri ni sifa njema duniani kote. Muhimu ni CCM nao pia waige mambo mazuri kama kuwa na viongozi waadilifu. Hakuna mtu anayechukia CCM kama chama bali watu wanachukia utaratibu wao wa kuendesha nchi ambao umeifanya nchi yetu ishindwe kupata maendeleo ya kweli. Wale wote wanaowapenda watanzania wenzao kama wanavyojipenda wao wenyewe, bila kujali wanapenda au kushabikia CCM au Chadema, wataunga juhudi za kurudisha viongozi waadilifu ambao uongozi kwao ni utumishi kwanza kabla ya manufaa na sifa. Hata CCM wenyewe wamechoka viongozi wa aina hiyo. Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 08, 2012

    Wapo wenye hitaji hata la chakula..je umewai saidi yatima wangapi adi leo ututangazie kusaidia siasa???? So sorry 4 u mdau. Ahsante Mungu sina chama zaidi ya uraia wangu na dini yangu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 09, 2012

    Kuiga ni kitu cha kawaida, hakuna kati ya wote hao alie buni mechanism ya blogs, wote ni wateja tu wamablog nani kaanza sio muhimu, muhimu tuambiane habari za ukweli, na kama wanavyosema kuiga mambo mazuri sio vibaya, inashangaza hawa wenzetu Chadema, wamikuta CCM, badala ya kuiga mfano mzuri wa CCM, wanaiga Mau Mau, damu kumwagika, vipi hawa, kila kitu sikubali mpaka kieleweke, kieleweke nini mkishindwa mmeshindwa tu.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...