Tunasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wetu Capt. Brian Bgoya (pichani) nkilichotokea 7:15 usiku wa Mei 14 2012 katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam kwa maradhi ya kisukari.
Mwili wa marehemu utasafirishwa Alhamisi Mei 17 2012.
Marehemu anatarajiwa kuzikwa Ngara Jumamosi Mei 19 2012.
Familia inayo heshima kutoa shukrani za dhati kwa wale wote walioshiriki na wanaoshiriki kwa hali na mali katika msiba huu.
Mungu ailaze roho ya marehemu
pahala pema peponi.
Amen.
Rest In Peace Captain Bgoya! I remember back in the day when you used to pilot the "Serengeti" and the "Kilimanjaro" when ATC used to fly high. Mungu akulaze mahala pema peponi.
ReplyDeletewe will miss you soo much.REST IN ETERNAL PEACE,DEAR UNCLE BGOYA.
ReplyDeleteR.I.P Captain...
ReplyDeleteR.I.P uncle Brian. You were like a dad to me. Will miss you. Sakeena.
ReplyDeletePole sana wafiwa hasa binti yake pamoja na mrs Tunaomba Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteRest in peace uncle brian bgoya...sisi tulikupenda ila mungu alikupenda zaidi
ReplyDeleteCaptain Brian Bgoya
ReplyDeleteFor those of you who knew Captain Brian Bgoya, Ex ATC, LAM and KQ. He was an amazing guy with a great sense of humour, a true gentleman and a pleasure to work with. My sincere condolences to his family. He was a great man who will be dearly missed. May he RIP and he will always be remembered.
Saleh Sahaag