Home
Unlabelled
kutoka maktaba: the dream team ya mwaka 1961
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nguo walizovaa wamependeza, kwa kweli sijui nani aliowatoa katika utamaduni huu. Na Mzee Fundikira katoka na white suit yake.
ReplyDeleteSafi sana kwa kumbukumbu hii; nilichogundua ni kwamba katika enzi hii wakati nchi ikiwa na watu chini ya ishirini milioni Baraza hili la Mawaziri liliundwa na watu zaidi ya ishirini lakini leo hii nchi ikiwa inakaribia kuwa na watu zaidi ya milioni 40 tunapigia kelele Baraza kubwa la Mawaziri ambapo tukizingatia uwiano basi utagundua kuwa si kubwa kitu, siasa za kimizengwe tu ndio zimetutawala!!!
ReplyDeleteAnkal ungetuwekea na majina kama inawezekana...
ReplyDeleteToo bad the dream turned into a nightmare!
ReplyDeleteMAJINA??????
ReplyDeleteR.I.P waliotangulia mbele ya haki.Mwaka 1961,TZS1=dola ngapi?Nilikuwa sijazaliwa...lakini nasikia sh.yetu ilikuwa na 'nguvu' dhidi ya dola ya kimarekani kipindi cha miaka ya 1960s,1970s hadi 1980s.Sasa hivi 1TZS=USD~1580.NI WAPI TULIPODONDOSHA MPIRA????
ReplyDeleteDavid V
Haya mavazi yaliyokuwa yanavaliwa na waasisi wa Taifa yamekwenda wapi mbona sioni viongozi wetu wa sasa wakivalia hiyo sare iliyokuwa inawasilisha ujumbe wa Vazi la Taifa? tuhifadhi mila na tamaduni zetu... Iam just saying.
ReplyDeleteM A J I N A tafadhali.ILi WAJUKUU WA PATE HISTORIA YA NCHI TULIKOTOKA,hatuna vitabu maktaba
ReplyDeleteM A J I N A !!!!!!!!!!!!!!!!!!!! please!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwanza kwa wadau wadogo kiumri, hilo vazi ni la asili ya Ghana na siyo Tanzania. Kumbuka wakati wa nguvu za Kwame Nkrumah? Ndiyo enzi hizo basi alikuwa na influence kubwa kama walivyo Wanigeria kwa sasa.
ReplyDeleteMdau aliyeuliza thamani ya shilingi enzi hizo. Dola ilikuwa haieleweki sana kihivo lakini Poundi moja ya muingereza ilikuwa sawa na Shilingi ishirini za Afrika ya Mashariki, Dola moja shilingi 7. Huo ni wakati wa East African Currency na baadae mwaka 1970/71 tukawa na yetu (sina uhakika wa mwaka)
Thamani ya shilingi yetu Afrika Mashariki ilikuja kupishana wakati wa Idi Amini na baadae Nyerere alipokataa kuishusha ya Tanzania mambo yakawa magumu sana na uchumi ukaanguka. Eti tukaambiwa tusiangalie nyuma au tutageuka jiwe, ha! Na maandamano tulifanya pale Mzee Mtei walipotafautiana na Big Boss Nyerere.
Basi kuanzia hapo tena shilingi down down down mpaka leo tumeachana mbali sana na wenzetu wa Kenya, ya kwao iko strong. Ila Waganda mhhhhh!
Tulianza na pesa zetu mwaka 1966 mbuni,mmasai nk.
ReplyDeleteWewe mdau uliyesema baraza la mawaziri liandane na idadi ya watu jaribu kufikiri kidogo. Siku hizi teknolojia imekua sio kama enzi za uhuru. Kuna computer, internet n.k. ambavyo vimerahisisha kazi. Kwa hiyo kazi ambayo ingefanywa na watu kumi enzi hizo inaweza kufanywa na mtu mmoja siku hizi. Pia ukumbuke enzi hizo matumizi ya serikali yalidhibitiwa na mawaziri hawakuwa wafujaji wa fedha za Umma kama wa siku hizi.
ReplyDeleteBaraza la mawaziri likiwa kubwa sana kwa nchi kama Tz ni mzigo kwa walipa kodi na ni gharama kubwa kwa taifa. Fikiri kwanza ndo useme.