Lori lenye tank lenye gesi likiwa limeanguka na kufunga barabara,nje kidogo ya mji wa Mwanga mkoani Kilimanjaro.chanzo kuanguka kwa lori hilo hakijajulikana.
Wahusika wa Gari hilo wakiwa wamekaa wakitafakari namna ya kuweza kuihamisha gesi hilo kwenye gari nyingine kama walivyokuwa na mpiga picha wa Globu ya Jamii,mchana wa leo
Jamani Mtakatifu chaliiiiii!
ReplyDelete