MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE,KHADIJA MWANAMBOKA (KUSHOTO) NA MMOJA WA WABUNIFU WA TMH,ZAMDA GEORGE (KULIA) WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MWENYEJI WAO,BALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA,MHE BEGUM TAJ MARA BAADA YA KUWASILI NCHINI HUMO.WABUNIFU HAO WAPO NCHINI UFARANSA KWA AJILI YA ONYESHO LA MAVAZI - STYLE MOTO MOTO LITAKALOFANYIKA KATIKA HOTEL YA ACADEMIE DIPLOMATIQUE INTERNATIONALE AVENUE HOCHE PARIS MEI 23,2012.
WABUNIFU WAKIPOZI NA WADAU WATAKAO KUWAMODEL KATIKA ONYESHO LA MAVAZI - STYLE MOTO MOTO IN PARIS ALHAMIS 23/5/2012 KATIKA HOTEL YA ACADEMIE DIPLOMATIQUE INTERNATIONALE AVENUE HOCHE PARIS
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...