Baadhi ya wanachuo wa Chuo cha Ualimu Ilonga, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, wakiwa wamejipanga kumlaki Mkuu wa Mkoa huo, Mh Joel Bendera (hayupo pichani).
 Walimu watarajari wa daraja la A wa Chuo cha Ualimu Ilonga , Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro wakisubiri kutunukiwa vyeti.
 Walimu watarajiwa 329 walitunukiwa vyeti vyao na Mkuu  wa Mkoa,na kuanzia kesho Mei 7, mwaka huu wanafunzi wa vyuo vya ualimu nchini wanatarajia kufanya mitihani yao ya kumalisha mafunzo yao ya ualimu wa madaraja mbalimbali.
 Mkuu wa Chuo cha Ualimu Ilonga, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, Bi. Marietha Putika akisoma taarifa ya ujenzi wa bweni la wanachuo baada ya kukamilika kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa huo, Mh Joel Bendera ( wa pili kulia) kuzindua jengo hilo ( wa kwanza kulia ) ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh Halima Dendego.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akimkabidhi mmoja wa walimu watarajari zawadi ya kufanya vizuri kwenye masomo. 
Picha zote na John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2012

    The students manage to keep their uniforms spotlessly clean, this is despite living in dusty enviroment.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...