Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika kucheza ngoma ya sindimba iliyokuwa ikichezwa na akinamama wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Uresco saccos huko Mikocheni A jijini Dar es Salaam leo.
 

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Uresco saccos katika sherehe zilizofanyika katika ofisi za saccos hiyo zilizoko huko Mikocheni. Mama Salma ni mmoja wa wanachama wa saccos hiyo.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa Uresco saccos na wananchi waliohudhuria sherehe za uzinduzi rasmi wa saccos hiyo eneo la Mikocheni leo.
Baadhi ya wanachama wa Uresco Saccos wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa saccos yao huko Mikocheni leo. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika kucheza ngoma ya sindimba iliyokuwa ikichezwa na akinamama wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Uresco saccos huko Mikocheni A jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...