Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel Zanzibar CEO Ali Bin Jarsh,baada ya kuzindua kifaa cha mtandao mpya wa Zanztel-3G katika ukumbi wa Zanzibar Bech Resort jana
Viongozi na wadau mbali mbali wa kampuni ya Simu za Mkononi Zanztel wakiwa katika uzinduzi wa Kifaa kipya cha Mtandao wa Zanzite -3G ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort j
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za Mkononi Zantel hapa Zanzibar CEO Ali Bin Jarsh,wakibonyeza kitufe ikiwa ni uzinduzi wa kifaa cha mtandao mpya wa Zantel -3G,katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort
Viongozi na wadau mbali mbali wa kampuni ya Simu za Mkononi Zanztel wakiwa katika uzinduzi wa Kifaa kipya cha Mtandao wa Zanzite -3G ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Zanzibar Beash Resort
Picha zote na mdau Ramadhan Othma wa,Ikulu, Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...