Mdau Francis Mmivele Hamissi baada ya kula nondozzz ya Masters of Information Systems kutoka Chuo Kikuu cgha University of Phoenix, Arizona, nchini Marekani, ambako pia amememaliza masomo ya Lean Six Sigma Black Belt kutoka kampuni ya Kraft Foods, Chicago, Illinois. Mdau anatoa Shukrani kwa ndugu, jamaa, na marafiki waliomsaidia kufikia hapo alipo.
Mdau Francis Mmivele akikabidhiwa nondozzzz na Dr. Blair Smith, Dean, College of Information Systems and Technology.




haya ndo mambo tunataka kuyasikia .... congrats!
ReplyDeleteHongera sana bro!
ReplyDeleteHongera sana mdogo wetu Mive! ni mfano wa kuigwa. From family friend wa St. Alban's in Dar!
ReplyDeleteHongera my fellow Phoenix graduate. I know you are well groomed maana hiyo shule si mchezo!
ReplyDeleteAAaaah Miveeeee,
ReplyDeleteAsanteni sana kwa hongera zote. Ni ndugu, jamaa, na marafiki ndio wamechangia mafanikio yangu. Mungu awabariki nyote na kuwazidishia.
ReplyDeleteFrancis Mmivele Hamissi (Mive).