Mkuu natumai unaendelea vyema huko.
Mi huku nasonga vizuri pia, nashukuru Mungu.
Mkuu naomba kukufahamisha na pia kuwafahamisa wadau wa Globu ya Jamii kuwa nimechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Australia (NSW),baada ya kupita kwa kura zote katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Granville Youth Centre, Diamond Ave, Granville NSW na Mwenyekiti Mpya katika uchaguzi huo ni Connie Ufwe.
Nashukuru sana kwa ushirikiano wako hasa kwa kunitolea story zangu kwenye Libeneke la Globu ya Jamii, natumai tutaendelea kushirikiana vyema pamoja na Wadau wote wa Globu ya Jamii.
Tuko Pamoja
Mdau Frank Mtao
Ieweke wazi kuwa yeye ni Katibu was wawatanzania waishio New South Wales (NSW. Australia in ma-states mengi tu. Mimi naishi Canberra (ACT, hatuna jumuiya hiyo. Anyway, hongera!!
ReplyDeletekwani kaandikaje? si kaweka hiyo nsw.
ReplyDeleteacha wivu
Naam, nilitaka kusema hivyo hivyo,mi niko Adelaide... na hatuna hiyo kitu
ReplyDeleteMbona katibu hana discipline na nywele zake
ReplyDeleteChana nywele wewe katibu. Uongozi unahitaji nidhamu.
ReplyDeletewhat does hair have to do with ukatibu?acheni ushamba wabongo bwana mtaacha lini kufuatilia maisha ya watu?mimi nipo mbele na nimewaona wakurugenzi na hereni masikioni, ma injinia na ma tattoos ila when it comes to their jobs they perform very well....huu ni ujinga stereotype ni mbaya sana...nywele zake can u mind your business huh mbona wewe hujavaa chupi hatusemi?
ReplyDeleteguys guys......let congratulate him for being choosen as a new leader ..
ReplyDeleteFrank Mtau:
ReplyDeleteHongera sana kwa Uongozi lakini ndio kama hivyo baadhi ya Wadau wanalalamika na mwonekano wako wa kuto kuchana nywele!
Kazi kwako umridhishe nani, na ufanye nini kwa nafsi yako?