Mkuu natumai unaendelea vyema huko.
Mi huku nasonga vizuri pia, nashukuru Mungu.

Mkuu naomba kukufahamisha na pia kuwafahamisa wadau wa Globu ya Jamii kuwa nimechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Watanzania waishio nchini Australia (NSW),baada ya kupita kwa kura zote katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Granville Youth Centre, Diamond Ave, Granville NSW na Mwenyekiti Mpya katika uchaguzi huo ni Connie Ufwe.

Nashukuru sana kwa ushirikiano wako hasa kwa kunitolea story zangu kwenye Libeneke la Globu ya Jamii, natumai tutaendelea kushirikiana vyema pamoja na Wadau wote wa Globu ya Jamii.

Tuko Pamoja
Mdau Frank Mtao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2012

    Ieweke wazi kuwa yeye ni Katibu was wawatanzania waishio New South Wales (NSW. Australia in ma-states mengi tu. Mimi naishi Canberra (ACT, hatuna jumuiya hiyo. Anyway, hongera!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2012

    kwani kaandikaje? si kaweka hiyo nsw.

    acha wivu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2012

    Naam, nilitaka kusema hivyo hivyo,mi niko Adelaide... na hatuna hiyo kitu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2012

    Mbona katibu hana discipline na nywele zake

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2012

    Chana nywele wewe katibu. Uongozi unahitaji nidhamu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2012

    what does hair have to do with ukatibu?acheni ushamba wabongo bwana mtaacha lini kufuatilia maisha ya watu?mimi nipo mbele na nimewaona wakurugenzi na hereni masikioni, ma injinia na ma tattoos ila when it comes to their jobs they perform very well....huu ni ujinga stereotype ni mbaya sana...nywele zake can u mind your business huh mbona wewe hujavaa chupi hatusemi?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2012

    guys guys......let congratulate him for being choosen as a new leader ..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2012

    Frank Mtau:

    Hongera sana kwa Uongozi lakini ndio kama hivyo baadhi ya Wadau wanalalamika na mwonekano wako wa kuto kuchana nywele!

    Kazi kwako umridhishe nani, na ufanye nini kwa nafsi yako?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...