KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE LINAWAKARIBISHA WAKINA MAMA KINA BABA WOTE KATIKA IBADA MAALUM YA MOTHERS DAY ITAKAYOFANYIKA JUMAPILI MAY 13,2012 SAA 7 MCHANA (1:00PM)

MAHALI
10110 GREENBELT RD
LANHAM,MD 20706

MUDA
7MCHANA ( 1:00PM)

MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA TANZANIA MCHUNGAJI PETER IGOGO ATAHUDUMIA, MAOMBEZI KWA WAGONJWA NA SHIDA MBALIMBALI YATAFANYWA
CHAKULA KITAKUWEPO

NJOO UJE KUPOKEA MUUJIZA WAKO NA KUONA JINSI MUNGU ANAVYOFUNGUA VIFUNGO MBALIMBALI VILIVYOSHINDIKANA.
" KWANI YESU NI YEYE YULE JANA, LEO NA HATA MILELE" WAEBRANIA 13:8

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU:
202 271 1860 AU 240 565 7133

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2012

    Mimi nauliza jamani kuuliza si ujinga, kwa nini hawa wachungaji wanaoponyesha watu, wasiwe wanaenda mahasipitalini kuponyesha. Hii itakuwa faraja kubwa kwa wagonjwa na kwa watu wengine, tena kama huyu mchungaji Mungu angemjaalia kwenda hospital moja tu huko marekani akaponyesha japo wagonjwa wawili tu au hata mmoja ikathibitika kuwa ni yeye kamponyesha, ni atapata greencard yeye na familia yake kwa maisha yake yote, na donge nene tu..............maana huo ni uvumbuzi wa hali ya juu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...