Mkurugenzi Msaidizi Idara ya mazingira Ofisi ya makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi akiwa katika mahujiano maalum ya kipindi cha Radio idhaa ya kiswahili ya Radio Deutsch Welle mjini Bonn Ujerumani.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya mazingira Ofisi ya makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi katika mahojiano maalum na mtangazaji Sudi Mnete (kulia) kwenye moja ya kipindi cha Radio, idhaa ya kiswahili ya Radio Deutsch Welle mjini Bonn Ujerumani.(Picha na Evelyn Mkokoi).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...