Hivi ndivyo yaonekanavyo Baadhi ya Maeneo ya Mji wa Iriga siku ya leo,kama yalivyonaswa na Ankal Othman Michuzi wa Libeneke la Mtaa Kwa Mtaa.

Waweza tembelea Libeneke lake 
au

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2012

    Dah kumbe iringa janga tupu na milima ? Nilikuwa sielewi nakusikia tu,thanx Ankal

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2012

    Huko juu kama Ulaya.

    Sijui kama Mkwawa angekuwa hai angefikiria vipi?

    Endelezeni mji wenu, masikini Mkwawa alijiua kwa kukataa kutawaliwa na Wajeru..

    RIP Mkwawa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2012

    Nchi imebarikiwa hii, mliokimbia miaka ya mwalimu ,please rudini,mambo siyo kama zamani-siku hizi ni juhudi zako tu na siyo lazima ukae Dar es salaam, kila mkoa sasa ni kama huko mliko na zaidi. Hatutumii freeza huku, kila siku unakula fresh. Zebedayo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2012

    Huu mji wetu unao potential ya kuwa kama mji wa San Francisco, USA.Kwa wale mliofika San Francisco bila shaka mtakubliana nami...au sio?

    ReplyDelete
  5. Iringa yetu inapendeza hata kwa jicho la mgeni!
    Ahsante kwa taswira murua hizi.
    Maggid Mjengwa,
    Iringa

    ReplyDelete
  6. Iringa yetu inapendeza hata kwa jicho la mgeni.
    Asante sana kwa taswira hizi murua!
    Maggid Mjengwa,
    Iringa

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2012

    anon wa tatu unatuita tulio nje turudi nyumbani kwa sababu za picha hizo zilizopo hapa? picha zimepigwa katika main road na hakuna hata moja inayoonyesha hali halisi ilivyo ndani ya mji wenyewe.

    Mfano tazama picha ya pili, unataka kuniambia kuwa barabara ziendazo ndani hapo nazo ni msalato? unataka kuniambia kuwa nyumba za hapo ni za hali ya kuridhisha? unataka kuniambia sehemu hiyo ina drainage system ya uhakika na ikinyesha mvua hapatokei matatizo ya mitaro kujaa maji?

    sikatai kuwa nyumbani ni nyumbani lakini tusidanganyane kuwa maisha tanzania kuwa sasa ni mazuri, ni mazuri kwa wachache lakini wengi bado wanateseka, kiwango cha elimu ni kiko chini. walimu ambao ndio tunaowategemea kuelimisha kizazi cha baadae hawathaminiwi, nao hawana moyo wa kufundisha, halafu tunategemea kuwa kizazi kiweze kujitegemea na kutotegemea ajira za makampuni na serikalini!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2012

    je waliotoa maoni ya kuponda hapo juu nao tuwaelewe je ??,Mjengwa sema. au ndo kwenye msafara wa mamba na kenge wamo !! Zebedayo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2012

    wow iringa, the beautful city.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...