Mzee wa Kipepeo Tours (pili kuume) akiwa na wawakilishi wa Tanzania Tourist board na Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro wakiwa kwenye maonyesho ya Utalii ya Imex nchini Ujerumani yaliyofanika May 21 mpka 24 , 2012
Mjengo kulikofanyika maonesho hayo
Vijana wa Imex baada ya kumpokea mzee wa Kipepeo waliomba kupiga picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...