Katibu wa Bunge Dkt. Thomas kashililah (Kulia) akimsikiliza kwa makini Katibu wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Nd. Yahaya Khamis Hamad wakati katibu huyo na Naibu spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Ali Abdulah Ali (Mwenye kofia) walipotembelea Ofisi ya katibu wa Bunge Dar es Salaam leo. Wengine ni Mbunge wa Wawi Mhe. Hamad Rashid Mohamed na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester mabumba.
Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akifafanua jambo kwa Katibu wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Nd. Yahaya Khamis Hamad (wa pili kulia ) wakati katibu huyo na Naibu spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Ali Abdulah Ali (Mwenye kofia) walipotembelea Ofisi ya katibu wa Bunge Dar es Salaam leo. Wengine ni Mbunge wa Wawi Mhe. Hamad Rashid Mohamed na Katibu wa Bunge . Dkt. Thomas kashililah.Picha na Owen Mwandumbya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...