Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Khamis Kaghasheki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) asubuhi ya leo,muda mfupi baada ya kukabidhiwa Ofisi na Waziri wa awali wa Wizara hiyo,Mh. Ezekiel Maige (kushoto).Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyarandu.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyarandu akizungumza na Waandishi wa habari,muda mfupi baada ya kukabidhiwa Ofisi yao Mpya.Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Khamis Kaghasheki.
Waziri wa Zamani wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Mh. Ezekiel Maige akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya Kukabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo,leo Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Pole sana Maige, am lost on why you are gone when the amount of corruption in government is frightening. Everybody is doing it such that "The level of corruption had migrated from a sporadic to a systematic and now an institutionalised form of corruption," The problem has become so bad that an unscrupulous "mobocracy" is undermining the country's development potential. "A few mob is dominating the resources of this country at the expense of the majority,"
ReplyDeleteMaige go back to youR financial work!!
ReplyDeleteIssue bongi usizungumze sana! Huyu Maige kajiponza mwenyewe! Kwenda public kusema kuwa hakununua nyumba dola 700,000 bali ni dola 400,000?? Waliomchagua hawana hospitali za maana, shuke hakuna wala madawati ndiyo ndoto. Halafu wewe unasema umenunua nyumba kwa mkopo wa dola laki nne. Kwa kipato gani??????? Sheria za mikopo tunazijua lazima uwe na kipato fulani ili uqualify mkopo wa dola laki nne. Hili ni fundisho kuwa bongo ukiiba unanyamaza wacha waliokushutumu watafute habari, mafisadi wengi tuu wamepotulia kimya miaka kwa miaka. Kila waziri anabiashara enzi za nyerere unaambiwa uchague kufanya biashara au kuitumikia nchi you can not be at both side. He was right! Maana utatumia ofisi ya serikali kuendesha biashara zako- simu za office, fax and internet unazotumia kwa mawasiliano ya biashara zako ni hela za wananchi hivyo nyerere hakukosea ndiyo maana wale waliofanya kazi na nyerere hawakuwa na ufisadi wa wazi kama sasa.
ReplyDeleteMaskini Maige, Pole sana mzee, nyumba mbovu imekuangukia, Bahati mbaya huwa haina kwao! Ni kuomba yaishie hapo bila kufilisiwa..
ReplyDeleteNgojea upate ajali uende Muhimbili halafu ubanie fedha zako kama hujafa hivi unajiona. Hata anaekukusha maji pale Moi ambapo unalipia anataka bahshishi na kama ukiwa mgumu hayo mateso utakayopata anayajua mola. Nenda restaurant Marekani, system imeshawekwa ni lazima utoe tips bila hivyo huhudumiwi vizuri. Corruption ni kama majani kila mti una shape yake ya majani.
ReplyDelete