Stuttgart,Germany: Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU, inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya jumamosi mjini Stuttgart,Ujerumani kutumbuiza katika sherehe ya siku ya taifa la Cameroon.kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU, watatingisha jukwaa katika ukumbi wa Arena la  Sportpark Feuerbach, uliopo mtaa 
(Triebweg 85, 70469 Stuttgart,Wakamerooni wapatao 5,000 wanaoishi ujerumani pamoja na maelfu ya wapenzi wa muziki nchini Ujeruamani watajimwaga uwanjani kupata burudani kamili kutoka kwa kikosi kazi Ngoma Africa band aka FFU chini ya uongozi wake kamanda Ras makunja wa FFU, Ngoma Africa sasa wanatamba na wimbo mpya "Uhuru wa Habari" ambao unasikika hapo:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 26, 2012

    umejaribu ni vizuri kusema ulichona cho ila nadhani uliyoyasema ni sawa na kuwa na serikali tatu na swala la gharama ni woga uliotumia kuficha kitu fulani ambacho hujakisema.......
    serikali tatu ni mfumo unaotumiwa ulaya na gharama za serikali zitasimamiwa na serikali husika kama ya tanganyika watasimamia ya kwao na ya zanzibar watagharamia gharama za uendeshaji wa serikali yao huo mzigo wa gharama upo wapi? zaidi ya hayo kila serikali itajuwa na mamlaka yake kamili na kuakua mambo yake bila kuomba ushauri wa serikali ya nchi nyingine na serikali ya muungano ambayo itasimamia mambo ambayo yatakubaliwa na pande zote kuwa ndiyo yawe ya muungano na gharama zake zitachangiwa na serikali zote husika.....kila serikali itafanya mambo yake kwa maslahi ya watu wake na yale yatakayo husu muungano yatajadiliwa na muungano na yatafanyika kimuungano na mambo hayo ya muungano yakubaliwe na pande zote kwamba yawe ya muungano!
    ugumu upo wapi ulaya wamefanya hivyo, UAE wanafanya hivyo...........hoja ya serikali moja kama marekani kwa sasa tulipofikia ni nguma sana kufanyika vile......kama ni muungano uwepo basi ni serikali tatu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2012

    Kamanda Ras Makunja na kikosi kazi
    FFU au ngoma afrika,kwata zenu sinatisha babu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...