



Oh boy, see fight o...lol. Deputies exchanged blows during a session in the chamber of the Ukrainian parliament in Kiev on Thursday May 24th. The fight started after opposition deputies staged an action against the bill about the basics of the Russina language policy.


Hapa Tz bado kidogo tu tutafika huko kutokana na kauli za baadhi ya wabunge kama alivyowahi kusema mmojawao 'FUNGENI MILANGO TUPIGANE'
ReplyDeleteOh yah, I love this, if he don't understand, punch him on the face.
ReplyDeleteThe waves of change after the fall of Berlin wall have not calmed down completely, a la Ukraine example. But A new wave for change, in the form of the Arab spring has happened already. The question is: is it going to spread to Sub-Saharan Africa?
ReplyDeleteDavid K.
Niliona hilo tukio kwenye luninga ,hawa jamaa hawataki mchezo inabidi wakati mwingine ili watu waweze kuheshimina ni lazima mkono utembee safi sana yaani jamaa alipata kichapo kisawasawa.
ReplyDeleteNakubaliana na wewe, mchangiaji wa mwisho 100%.
ReplyDeleteKuna wabunge wamezoea kutoa majibu mepesi kwa maswali mazito wanayoulizwa mjengoni. Sasa, ikitokea kama hii, watakuwa wanatoa majibu mazuri na yenye kujitosheleza!