Mkali wa miondoko ya kipwani kutoka Zanzibar AT akifanya vitu vyake sambamba na wanenguaji wake wakati wa tamasha la WQashindi wa Tuzoza Kilimanjaro “Kili Music Award Winners Tour” inayofanyika hivi sasa katika uwanja wa Umoja mjini Mtwara. Wasanii kadha wanataraji kupanda jukwaani.
Mkongwe wa Taarab, Bi Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music  Award 2012
Show ya wakali wa Kili Music Award 2012 ndani ya Uwanja wa Umoja mjini Mtwara ndio imeanza sasa. Pichani ni Mshindi kutoka Mtwara ambaye ataenda kurecord jijini Dar es Salaam Nicolazo akitumbuiza na kuwashinda wenzake wawili.
 Chipukizi wa 3 wa Mtwara waliokuwa wakichuna kutafuta mmoja atakaeenda Kurecord jijini Dar es Salaam kwa udhimi wa Kilimanjaro Lager
 Mashabiki wakifuatilia show hiyo ya kutafuta vipaji.

Shangwe za kumshangilia Chipukizi ambaye ni kipaji kipya cha Kili Music Award kutoka Mtwara:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2012

    Michuzi naomba umwambie father kidevu aweke video za wafokaji basiii. Michuzi asante kwa kutupa hizi habari hususani kwa sisi ambao tuko mbali na nyumbani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...